Kama umewekeza kwenye hisa za CRDB toa hela yako mapema. Mporomoko mkali waja

Hiki kipindi cha uchaguzi sio cha kununua hisa ovyo, unaweza kufilisika bure
 
Sasa ukitoa si umeua mzunguko utakuaje kwenye compound interest wakati umetoa pesa
Ukiwa na Ml 1 na anayeweka Ml 1 leo mnakuwa sawa. Compound inatokea unapoacha pesa kwa mda mrefu ila mtu akiweka kiwango sawa na ulichokipata kwenye compound, faidi inakuwa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…