Kama umewekeza kwenye hisa za CRDB toa hela yako mapema. Mporomoko mkali waja

Ukiwa na Ml 1 na anayeweka Ml 1 leo mnakuwa sawa. Compound inatokea unapoacha pesa kwa mda mrefu ila mtu akiweka kiwango sawa na ulichokipata kwenye compound, faidi inakuwa sawa
Sasa mbona Mimi nimemaanisha hivyo hivyo kwamba ukitoa hizo pesa ukija kuanza kuweka inakua unaanza upya tofauti na yule aliyeweka mda mrefu
 
Kwa new investors usiwekeze kwakuwaza hisa itapanda tuh.. jiulize unataka nini kwenye hisa je unafocus na dividend au capital gain.
Umenunua kwa 1490 hisa ikifika 1800 after 2 years bado sio hela ya kukumake reach, usiwezekeze kwa muhemko weka ela ukiwa na target ya over 5 years plus otherwise utaona hisa haina utofauti na kubeti
 
K
Kwahiyo tununue tu hata tukiona hisa zinaporomoka tununue tu kwa wakati huo
 
K

Kwahiyo tununue tu hata tukiona hisa zinaporomoka tununue tu kwa wakati huo
Nunua bei ikiwa stable kama una cash ya pamoja ila nunua kidogo kidogo kama una pesa ya ungaunga
 
Nunua bei ikiwa stable kama una cash ya pamoja ila nunua kidogo kidogo kama una pesa ya ungaunga
Hivi hizi hisa za CRDB zinaweza kufika 500 ? Vipi kwa upande wa NMB sio overvalued nayo ?
 
Hivi hizi hisa za CRDB zinaweza kufika 500 ? Vipi kwa upande wa NMB sio overvalued nayo ?
Zinaweza kufika 800 kama supply itakuwa kubwa kuliko demand. NMB ni over - valued sikushauri ununue kwa sasa
 
huu ni uongo wa waziwazi,pia benki kuu ya tanzania ipo makini sana kulinda benki na dalili ikitokea tu,benki kuu huchukua hatua mapema mno
 

Maneno meeeeengi uchawi mwiiiingii...wenzenu wanafanya mambo .. endeleeni kuishi kwa kukariri na kupayuka payuka ...huyo kiyosaki sijui kuyosako ni mhuni mmoja tu anayeuza vitabu.

amshapopo hongera sana Mimi ni mdau mkubwa wa mambo haya najifunza mengi kupitia kwenu nyinyi mliotangulia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…