Kama umri ungerudi nyuma, kosa gani usingethubutu kulifanya tena kwenye mahusiano?

Kosa ambalo nisingethubutu kulifanya ni kuoa aisee.
 
Sijutii lolote, kwenye mahusiano ya kimapenzi nimenyooka mpaka mwenyewe najikubali..!!

SIBEMBELEZI

SILAZIMISHI MTU KUBAKI NA MIMI

KITU KAMA SITAKI NI SITAKI

AFYA YA MWILI NA AKILI YANGU NI MUHIMU KULIKO MPENZI

TUKIONGEA KITU KIMOJA ZAIDI YA MARA TATU NAKUACHA

NAJICHAGUA MIMI KWANZA
 
Ausio mrembo sasa si utabaki Single.
 
Future single woman
 
Sina kosa lolote nilifanya kwenye mahusiano hata muda ukirudi nyuma nitafanya yale yale na haya haya nayofanya sasa

Ukianzisha uzi wa majuto ya kimaisha nje ya mahusiano nitag nije kutiririka
Moyo ushakua mgumu 😆
 
Sina kosa lolote nilifanya kwenye mahusiano hata muda ukirudi nyuma nitafanya yale yale na haya haya nayofanya sasa

Ukianzisha uzi wa majuto ya kimaisha nje ya mahusiano nitag nije kutiririka
Hahahaaaa hongera sana mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…