Bila ndoa mtu utaendelea kuzini adi lini 🤔, maana upwiru uko pale pale LamomyWewe kwako ndoa ni kipaumbele?
Bila ndoa mtu utaendelea kuzini adi lini 🤔, maana upwiru uko pale pale LamomyWewe kwako ndoa ni kipaumbele?
Mimi hata sielewi shem😊
Najua hapa utamwaga mchele kwenye Kuku wengi.Mimi hata sielewi shem😊
Nilianza kudondosha chozi..😪Najua hapa utamwaga mchele kwenye Kuku wengi.
Basi inatosha.
Nimekumic sana sana...
Jana nikiwa kwenye bajaj niliwasikia Watu wazima wawili wakiongea na aliyekuwa akiendesha bajaj hiyo ambaye bado ni kijana mdogo, maongezi yaliianzia baada ya dereva bajaj kumaliza kumshusha abiria na kuanza kumuomba namba, kisha alipokaa bajaj akasema mtu mwenye mbaya kuliko mwanamke wangu ila unaringa.
Mwanaume wa kwanza akamwambia kijana, najua kwa sasa nikikwambia utasema ni uanaume na kwamba ni tamaa ila kama una mwanamke sahihi acha tulia.
Akaendelea, kama umri wangu ungerudi nyumba nisingetenda kosa la kushindwa kuidhibiti tamaa ambayo ilifanya nikapoteza mwanamke bora sana kwenye maisha yangu kisa wanawake ambao kwa sasa najuta kuwa nao kwani hawajawahi kuwa na mapenzi na mimi ila walikuwa nami sababu niliwapa pesa na baada ya kuisindwa kuwatimizia wamekimbia wote na sasa nipo nipo tu.
Mwingine akasema, Bora wewe Mzee, mimi kama umri ungerudi nyuma kamwe nisingekubali kuwachezea mabinti kwani nilichezea hisia za binti mmoja ambaye alishindwa kuvumilia maumivu akaja kujiua mbele ya nyumba yetu na akaacha ujumbe kuwa mimi ndio chanzo, tukio lile liliniweka mahabusu muda mrefu sana hali ambayo ilizima ndoto zangu nyingi mno mpaka sasa bado sijakaa sawa.
Stori zao ziliendelea nikashuka, nikawa natafakari kumbe kuna vitu mtu anaweza akafanya ambavyo akatamani visijirudie au kama kuna uwezekano wa kufuta kurasa basi angefut
Lugha ya shetani hii, jitenge naye.Jana nikiwa kwenye bajaj niliwasikia Watu wazima wawili wakiongea na aliyekuwa akiendesha bajaj hiyo ambaye bado ni kijana mdogo, maongezi yaliianzia baada ya dereva bajaj kumaliza kumshusha abiria na kuanza kumuomba namba, kisha alipokaa bajaj akasema mtu mwenye mbaya kuliko mwanamke wangu ila unaringa.
Mwanaume wa kwanza akamwambia kijana, najua kwa sasa nikikwambia utasema ni uanaume na kwamba ni tamaa ila kama una mwanamke sahihi acha tulia.
Akaendelea, kama umri wangu ungerudi nyumba nisingetenda kosa la kushindwa kuidhibiti tamaa ambayo ilifanya nikapoteza mwanamke bora sana kwenye maisha yangu kisa wanawake ambao kwa sasa najuta kuwa nao kwani hawajawahi kuwa na mapenzi na mimi ila walikuwa nami sababu niliwapa pesa na baada ya kuisindwa kuwatimizia wamekimbia wote na sasa nipo nipo tu.
Mwingine akasema, Bora wewe Mzee, mimi kama umri ungerudi nyuma kamwe nisingekubali kuwachezea mabinti kwani nilichezea hisia za binti mmoja ambaye alishindwa kuvumilia maumivu akaja kujiua mbele ya nyumba yetu na akaacha ujumbe kuwa mimi ndio chanzo, tukio lile liliniweka mahabusu muda mrefu sana hali ambayo ilizima ndoto zangu nyingi mno mpaka sasa bado sijakaa sawa.
Stori zao ziliendelea nikashuka, nikawa natafakari kumbe kuna vitu mtu anaweza akafanya ambavyo akatamani visijirudie au kama kuna uwezekano wa kufuta kurasa basi angefuta kabisa.
Nilianza kudondosha chozi..😪
Mkuu. Ma mtu kakufanyaje?.NISINGEOA
Siku?? Masaa😂Ila shem nimegundua kuwa mapenz hayaumi ukiyazoea.
Nina maanisha matukio yakizidi unaona kawaida tu.
Unakaa na mtu kimachale.
Siku akiamua kukisanua unakuwa tayar una plan B au umeshajihami.
Yaan unasononeka usiku mmoja tu..
Ukiamka yameisha. 😂😂😂
Ila mahusiano hayataki ujuaji😂😂na akili nyingi ukiwa mjinga mjinga hutawai kuumizwaMallerina naona kabisa ww mbinge mbinge za mahusiano ushazizoea. Sasa ukute unaingia kwenye mahusiano na yule mlokole anayekuita Madam au mshamba mmoja wa mahusiano au kijana mlaini mlaini.
Yaan naona kijana wa watu atalia kama ambulace. Huku ww haujali 😂😂😂😂
Naona wanataka kukupandisha kisukari kwa bei rahisi. 😂😂
Ila mahusiano hayataki ujuaji😂😂na akili nyingi ukiwa mjinga mjinga hutawai kuumizwa
Sasa Mjamaica hii habari ya bangi inaingiaje kwenye mahusiano? Wanashindwa kuzingatia masharti madogo namna hii, kwenye mambo serious wataweza kweli?
Coco Beach
Sasa Unakutana na mtu mzima mwenzako.Ila mahusiano hayataki ujuaji😂😂na akili nyingi ukiwa mjinga mjinga hutawai kuumizwa
Ni.kweli ila siku hizi mambo yamebadilika sana kila mtu anagaalia anabenefit vipi kwenye mahusianoIla kweli.
Mahusiano yanahitaji kuaminiana.
Kutodanganyana. (Kama unadanganya hakikisha unatumia akili ya ziada).
Msiaidiane mambo ambayo hamuwez kuyatimiza,
Yaan Be Real, Be You. and try your Level Best to be best version of You.
Do what you obligated to do for Him/her.
Mengne ni Majaliwa. Kudra.
Unaniita dogo tena 🥹 SeranPoa vipi dogo?