Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 4,666
- 11,789
Anakupanga na uongo ukigundua tu anakufunika na uongo mwingine maisha yanaendelea😁Sasa Unakutana na mtu mzima mwenzako.
Badala akupange na kukuambia ukweli . Ili uamue uishi nae vipi . Yeye anakupanga na uongo mwingiiii.
Inakera balaa yaani.