Kama umri ungerudi nyuma, kosa gani usingethubutu kulifanya tena kwenye mahusiano?

Kama umri ungerudi nyuma ningepata miti Ekari Tano kwa gharama ndogo sana Leo hii ningekuwa na pesa nzuri nimeanza kupanda miti nikiwa na matumizi makubwa kipindi hicho nilikuwa peke yangu
 
Hii pia inaweza kukugharimu 🤣🤣 mimi kuna mtu I wish ningembembeleza, sijaona tena mwingine kama eye.
 
Kunywa Kvant kabla ya tendo
 
Kama umri ungerudi nyuma ningepata miti Ekari Tano kwa gharama ndogo sana Leo hii ningekuwa na pesa nzuri nimeanza kupanda miti nikiwa na matumizi makubwa kipindi hicho nilikuwa peke yangu
Miti umepanda mkoa gani mkuu? Kama hutojali
 
Kama huvutagi bangi wewe😀😀
Sina kosa lolote nilifanya kwenye mahusiano hata muda ukirudi nyuma nitafanya yale yale na haya haya nayofanya sasa

Ukianzisha uzi wa majuto ya kimaisha nje ya mahusiano nitag nije kutiririka
ama
 
Hii pia inaweza kukugharimu 🤣🤣 mimi kuna mtu I wish ningembembeleza, sijaona tena mwingine kama eye.
Usijutie, huyo ungembembeleza ungekaribisha tatizo kubwa kuliko ulilokua nalo sasa hivi..!! 😹

Angekupiga matukio kwa makusudi coz anajua huna pa kwenda lazima utambembeleza..!!

Kinachoumiza wengi ni yale mazoea..!!
Na kama kuna standard aliziweka kwako lazima uumie..!!

Mimi haijawahi kunigharimu hua najiona mjinga, niliweza vipi kukaa na mtu wa aina ile? Naanza kuona madhaifu na mapungufu yake yote nikiwa nje ya hilo husiano..
 
Pengine ni kweli usemacho, sikupata nafasi ya kuingia nae kwenye mahusiano rasmi huenda huko ndani ningekutana na vituko zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…