Kama umri ungerudi nyuma, kosa gani usingethubutu kulifanya tena kwenye mahusiano?


Lugha ya shetani hii, jitenge naye.
 
Siku?? Masaa😂

Sema napendaga zile mbinu zako za kivita😆

Umenishinda tabia aisee.. sema unafanya vzr ndoa itadumu kwa muda sana!
 
Mallerina naona kabisa ww mbinge mbinge za mahusiano ushazizoea. Sasa ukute unaingia kwenye mahusiano na yule mlokole anayekuita Madam au mshamba mmoja wa mahusiano au kijana mlaini mlaini.
Yaan naona kijana wa watu atalia kama ambulace. Huku ww haujali 😂😂😂😂
 
Ila mahusiano hayataki ujuaji😂😂na akili nyingi ukiwa mjinga mjinga hutawai kuumizwa
 
Ila mahusiano hayataki ujuaji😂😂na akili nyingi ukiwa mjinga mjinga hutawai kuumizwa

Ila kweli.
Mahusiano yanahitaji kuaminiana.
Kutodanganyana. (Kama unadanganya hakikisha unatumia akili ya ziada).
Msiaidiane mambo ambayo hamuwez kuyatimiza,

Yaan Be Real, Be You. and try your Level Best to be best version of You.
Do what you obligated to do for Him/her.

Mengne ni Majaliwa. Kudra.
 
Ni.kweli ila siku hizi mambo yamebadilika sana kila mtu anagaalia anabenefit vipi kwenye mahusiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…