Anakupanga na uongo ukigundua tu anakufunika na uongo mwingine maisha yanaendelea😁Sasa Unakutana na mtu mzima mwenzako.
Badala akupange na kukuambia ukweli . Ili uamue uishi nae vipi . Yeye anakupanga na uongo mwingiiii.
Inakera balaa yaani.
Hapa kuna somo kubwa.Kuzipuuza red flag na kuamini anaweza badilika
Unaniita mdogo wako unataka kuninyima nini 🙄 SeranLakini si mdogo wangu wewe!
Kutokula nauli.....sijawahi kabisa eti kula nauli, pamoja na malalamiko yooooote watu kuliwa nauli mie sijawahi.
Anyway umri hauruhusu tena kula nauli labda nile mtaji.
Hili nalo kosa Kubwa pia nimefanyaKutokula nauli.....sijawahi kabisa eti kula nauli, pamoja na malalamiko yooooote watu kuliwa nauli mie sijawahi.
Anyway umri hauruhusu tena kula nauli labda nile mtaji.
Poleni sasa🤭Hili nalo kosa Kubwa pia nimefanya
😂😂😂😂😂😂😂 Bro siku zirudi nyuma tule nauliHili nalo kosa Kubwa pia nimefanya
Hili gono super el Nino lilikuwaje mkuu??kuna bwege nisinge zaa nae kabisa, ila kuna bwege zaidi nisinge mkula matakor yake alinipa gono super el-nino ya mwaka huu inasubiri
kubwa zaidi nisinge fuata makundi na kuacha kusoma hesabu leo inanigharimu pakubwa sana maana uwezo nilikuwa nao.
La Mama wewe unanifaaa, nimenyoka kama kambaSijutii lolote, kwenye mahusiano ya kimapenzi nimenyooka mpaka mwenyewe najikubali..!!
SIBEMBELEZI
SILAZIMISHI MTU KUBAKI NA MIMI
KITU KAMA SITAKI NI SITAKI
AFYA YA MWILI NA AKILI YANGU NI MUHIMU KULIKO MPENZI
TUKIONGEA KITU KIMOJA ZAIDI YA MARA TATU NAKUACHA
NAJICHAGUA MIMI KWANZA
Husninyo.....Kuna mkaka nilimchezea maskini.
Fyddell...Husninyo.....
Mbona umepotea kule? I'm missing you badly🥰Fyddell...