Kama una date msichana wa Kichaga, kuna ujumbe wako hapa

Mimi nilipigwa matukio before kuvaa kitanzi cha ndoa. Nkanusurika.
Hongera yako, Kwa atakayepuuza haya atakoma kupuuza maazimio ya vikao kama hivi
 
Ndugu yangu unasikia walimwengu😊
Sijaona wa kunisumbua humu, naheshimu mamlaka,

Masingle maza wamejaa kibao , tuanze na watu wa siasa waliokufa wote ni wachaga ? ni watu wa mbali na Kili, mbona kila muda wanakuwa na mihemko na kili kama wamefumaniwa ugenini ?
 
Unajua wewe ni zwazwa unataka happy ending akulipe yeye ? Mbona unakuwa kama unataka vya bure sana ?
 
Hakuna cha kuchezewa, wale hata uwe na malengo naye vipi wanapenda kula hizo pesa wao kama wao. So ukijichanganya kabila jingine anakuvukilia mchume kwanza alfu anakutafutia ugonjwa. Wapo ambao hawafanyi haya ila ni wachache sana
Ndiyo maana Kabila linguine akioa Mchaga watoto wanakua wachaga na wanakua awaendi kwao Baba yao na Mahusiano yao na watoto wa Baba zao wakubwa na Babu na bibi unakua hakuna. Kuna rafiki yangu kaoa Mchaka sasa namshangaa anapenda kwenda Kilimanjaro kuliko kijijni kwao.
 
Sijaona wa kunisumbua humu, naheshimu mamlaka,

Masingle maza wamejaa kibao , tuanze na watu wa siasa waliokufa wote ni wachaga ? ni watu wa mbali na Kili, mbona kila muda wanakuwa na mihemko na kili kama wamefumaniwa ugenini ?
Mbona lakini nyinyi ni Mala**a wa Chini chini na mnajificha kwenye kivuli cha Kabila la wapambanaji. Wapambanaji wa kuuza mbunye
 
Sijaona wa kunisumbua humu, naheshimu mamlaka,

Masingle maza wamejaa kibao , tuanze na watu wa siasa waliokufa wote ni wachaga ? ni watu wa mbali na Kili, mbona kila muda wanakuwa na mihemko na kili kama wamefumaniwa ugenini ?
Kuna jamaa hapo juu nimemwambia Mbona WAZAZI wangu mzee wangu na mchaga wake wapo mpaka Sasa through all life kick & odds.
 
Ukiomba tu namba mchaga anageuka kilema siku hiyohiyo maana anaanza kuombaomba kununuliwa breakfast Hadi dinner na kodi ikiisha Hana pesa either ulipe yote au umwongezee
Dar wapo wengi wana jiuza.
 
Kuna jamaa hapo juu nimemwambia Mbona WAZAZI wangu mzee wangu na mchaga wake wapo mpaka Sasa through all life kick & odds.
Yaaan kama ilitokea basi kwa familia moja au mbili ndo wana generalize kwa ujumla wake hizo tafiti ni za wapi ?

Ili tuende nao sambamba watupe tafiti zinazoonyesha wameuawa na wake zao ?
 
Mimi juzi nmetoka kupiga chini mchaga wa sita au saba kwenye mahusiano kisa huu ujinga kwasababu wote tunafanya kazi moja sometimes kipato umemzidi kidogo lakini anataka kuwa tegemezi Kwa asilimia mia
Huu uamuzi wako ni sahihi zaidi.
 
Tayari ashazidiwa kete kudadeki. Ujue mimi nilikuwa kwenye Mahusiano na huyu dada, mahusiano yalikaa muda mrefu nikaanza shughuli za ujenzi nikawa namshirikisha. Sasa akawa ananiambia eti nisiwaambie Nyumbani hata mzee wangu kuwa ninajenga. Nikamuuliza kwanini akasema eti wataroga nisifanikiwe na aliyekua anajua ninajenga ni yeye tu na hapo nilikuwa nimeanza taratibu za kwenda kujitambulisha kwao. Kimsingi niliwaza sana, huyu mwanamama hataki ndugu wajue ninachofanya ili siku nikifa aje kubeba tu maana kama ningemuoa alikuwa mrithi pamoja na kwamba mali kazikuta tayari nimeshachuma. Nilimshirikisha mzee mmoja ambaye tunaheshimiana kama ambavyo ilivyo Baba na kijana wake akaniambia huyo sio wa kuoa na ukijumlisha na kabila lake Atakutanguliza
 
Ni kweli mkuu mimi mtoto wa mama mdogo kaoa Chaga pale Arusha kwa sasa huyo dogo hana mawasiliano kabisa na wanafamilia.yuko kipeke yake tu na makazi kayaweka Arusha na nyumbani kwao hana hata kibanda.
Na watoto wake kwao hawapajui ila wana pajua Kilimanjaro.
 
Sio rahisi kukuta ndoa ya mchaga mwanaume akawa sauti. Utakuwa na sauti akijua tu wewe una ela/mali zaidi kuliko yeye.
 
Sass kwani nyie kabila lenu lina tamaduni za kurogana?
Alitaka usiseme kwenu ili akukamate vizur, itakua na yeye kawaambia Wazazi wake kama wewe una jenga Nyumba, upande wa pili hataki Wazazi wako wajue kama una jenga, Ungefanikiwa kumuoa undugu na familia yako ungekufa, ndugu zako wasingeweza kuja kwako kuishi wala kutembelea kwako, ila ndugu zake ungeishi nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…