Kama una miaka 30, tayari umetumia nusu yako nyepesi na sasa upo kwenye nusu nyingine isiyohitaji mizaha

We umeoa? Unafurahia maisha yako? Basi enjoy, achana na wasiooa maana hakuna wanachokupunguzia, ishi maisha uliyochagua nao waishi waliyochagua.
NB: Hiyo Sabufa, Tv na Sofa la mtu mmoja kuna wenzako wameoa na hawana hivyo vitu!
 
Kwaj



Hapana kaka ni moja ya vitu muhim sana kwa mtu ambaye anataka kujenga familia
Ndo maana watanzania wengi ni maskini sana. Wengi tunakosea kwenye vipaumbele vyetu. Kabla ya kujenga nyumba hakikisha una chanzo imara cha mapato. Migogoro ya ardhi inachangiwa na watu wenye hisia kali na mambo ya viwanja. Mtu anakurupula tu ili ahesabike kuwa na yeye ana kiwanja.
 
Duh! haya maneno yanachoma na kuumiza sana sehemu ya ndani kabisa isiyofikika ya moyo wangu.
 
Mkuu kwa mbaliii kama unarejesha matumaini vile, unaonekana umetopea kwenye angle hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ