Kama una miaka 30, tayari umetumia nusu yako nyepesi na sasa upo kwenye nusu nyingine isiyohitaji mizaha

Kama una miaka 30, tayari umetumia nusu yako nyepesi na sasa upo kwenye nusu nyingine isiyohitaji mizaha

Kuna wengine tuko nao above 30 lakini ndo kama kunekucha hawajali hawataki kuoa a.k.a wazee wa kataa ndoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaaan huwaambii kitu ujuaji mwingiii hata ka kiwanja hana.Wakisha kua na tv , sofa la mtu mmoja , kitanda cha chuma na sabufa wamemaliza kazi kweli kweli .....
We umeoa? Unafurahia maisha yako? Basi enjoy, achana na wasiooa maana hakuna wanachokupunguzia, ishi maisha uliyochagua nao waishi waliyochagua.
NB: Hiyo Sabufa, Tv na Sofa la mtu mmoja kuna wenzako wameoa na hawana hivyo vitu!
 
Kwaj



Hapana kaka ni moja ya vitu muhim sana kwa mtu ambaye anataka kujenga familia
Ndo maana watanzania wengi ni maskini sana. Wengi tunakosea kwenye vipaumbele vyetu. Kabla ya kujenga nyumba hakikisha una chanzo imara cha mapato. Migogoro ya ardhi inachangiwa na watu wenye hisia kali na mambo ya viwanja. Mtu anakurupula tu ili ahesabike kuwa na yeye ana kiwanja.
 
Kama una miaka 30 tayari umetumia nusu yako nyepesi sasa upo kwenye nusu nyingine isiyohitaji mizaha 😔

Watalaam husema miaka 30 unakuwa umeishi nusu ya maisha yako hivyo mkononi unakuwa tena na nusu nyingine ✍️

Nusu ya kwanza umeitumiaje?

Kwa asilimia kubwa hii nusu umetumia ukiwa shule ila kibaya zaidi ni kuwa hii nusu hasa kati ya 20-26 unakuwa umeitumia kupoteza muda na watu wasio sahihi.

Nusu iliyobaki ( 30+) usikubali tena kupoteza muda maana hii nusu ni ya lala salama na fupi pia imejaa majukumu mengi sana.

Mwanasayansi saul kalivubha

#fikia ndoto zako
Duh! haya maneno yanachoma na kuumiza sana sehemu ya ndani kabisa isiyofikika ya moyo wangu.
 
GOD is out of time, out of matters and out of space 👉 ACHA kuwaza NDANI ya muda utaishi vyema na UMUNGU utaonekana kwako b'se utaona Kama MUNGU anavyoona

Jitoe nje ya muda i.e think out of time, and you'll never negret your experience in this Earth

Ulikuwepo kabda ya kuubwa tumboni mwa mama yako na kifo ni muendelezo wa UHAI, sio MWISHO wa UHAI Kwaiyo achana na dhana ya kufikiri NDANI ya muda utakuwa ni mtu wa kujihukumu kila Leo na MAISHA yatakosa Radha 😁
Mkuu kwa mbaliii kama unarejesha matumaini vile, unaonekana umetopea kwenye angle hii.
 
Back
Top Bottom