Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We umeoa? Unafurahia maisha yako? Basi enjoy, achana na wasiooa maana hakuna wanachokupunguzia, ishi maisha uliyochagua nao waishi waliyochagua.Kuna wengine tuko nao above 30 lakini ndo kama kunekucha hawajali hawataki kuoa a.k.a wazee wa kataa ndoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaaan huwaambii kitu ujuaji mwingiii hata ka kiwanja hana.Wakisha kua na tv , sofa la mtu mmoja , kitanda cha chuma na sabufa wamemaliza kazi kweli kweli .....
Ndo maana watanzania wengi ni maskini sana. Wengi tunakosea kwenye vipaumbele vyetu. Kabla ya kujenga nyumba hakikisha una chanzo imara cha mapato. Migogoro ya ardhi inachangiwa na watu wenye hisia kali na mambo ya viwanja. Mtu anakurupula tu ili ahesabike kuwa na yeye ana kiwanja.Kwaj
Hapana kaka ni moja ya vitu muhim sana kwa mtu ambaye anataka kujenga familia
Watoto wanazaliwa tu mkuu. Kuliko kukimbilia kuoa uoe shetani likunyonye damu bora uchelewe uoe ukiwa na watoto au usioe kabisa ila ukipata mwanamke sahihi ni vizuri kuoa.Sasa ukichelewa kuoa watoto utazaa ukiwa kibabu😂
Swala la kuoa kwa kweli si la kukurupuka.Sema sasa na umri nao wa kuzaa ukienda sana unakikuta babuWatoto wanazaliwa tu mkuu. Kuliko kukimbilia kuoa uoe shetani likunyonye damu bora uchelewe uoe ukiwa na watoto au usioe kabisa ila ukipata mwanamke sahihi ni vizuri kuoa.
Unazaa tu mkuu, utatubu kama ni suala la imani kukukataza na ukipata mtu sahihi unaoa ukiwa na mtoto.Swala la kuoa kwa kweli si la kukurupuka.Sema sasa na umri nao wa kuzaa ukienda sana unakikuta babu
Unazaa tu mkuu, utatubu kama ni suala la imani kukukataza na ukipata mtu sahihi unaoa ukiwa na mtoto.
Nlitaka kushangaa hakuna mpuuzi wa kuweka comment ya namna hii 🙄🚮 Naona upo
Kabisa mkuu Daktrari.Yes you don't need to force anything
Ikifika muda wa kuoa wewe utajua kuwa this is right time to get marriage
Nimewawakilisha to point out your stupidness 🚮Wanawake wenyewe wameiona comment hawajabisha wanaelewa, wewe ni nani uwapinge wahusika.
Tafuta hata mtoto uje kumtuma mkuu ..kama unaye au unao.waleee vemaBasi ulivyooa na kununua kakiwanja unaona maisha umeyapatia!
Duh! haya maneno yanachoma na kuumiza sana sehemu ya ndani kabisa isiyofikika ya moyo wangu.Kama una miaka 30 tayari umetumia nusu yako nyepesi sasa upo kwenye nusu nyingine isiyohitaji mizaha 😔
Watalaam husema miaka 30 unakuwa umeishi nusu ya maisha yako hivyo mkononi unakuwa tena na nusu nyingine ✍️
Nusu ya kwanza umeitumiaje?
Kwa asilimia kubwa hii nusu umetumia ukiwa shule ila kibaya zaidi ni kuwa hii nusu hasa kati ya 20-26 unakuwa umeitumia kupoteza muda na watu wasio sahihi.
Nusu iliyobaki ( 30+) usikubali tena kupoteza muda maana hii nusu ni ya lala salama na fupi pia imejaa majukumu mengi sana.
Mwanasayansi saul kalivubha
#fikia ndoto zako
Mkuu kwa mbaliii kama unarejesha matumaini vile, unaonekana umetopea kwenye angle hii.GOD is out of time, out of matters and out of space 👉 ACHA kuwaza NDANI ya muda utaishi vyema na UMUNGU utaonekana kwako b'se utaona Kama MUNGU anavyoona
Jitoe nje ya muda i.e think out of time, and you'll never negret your experience in this Earth
Ulikuwepo kabda ya kuubwa tumboni mwa mama yako na kifo ni muendelezo wa UHAI, sio MWISHO wa UHAI Kwaiyo achana na dhana ya kufikiri NDANI ya muda utakuwa ni mtu wa kujihukumu kila Leo na MAISHA yatakosa Radha 😁
Nimewawakilisha to point out your stupidness 🚮
Kama anakipato anaolewa fresh tu ila kama kapuku msalaHasa kwa mwanamke ambaye bado hajaolewa kwisha habari yake
Kama anakipato anaolewa fresh tu ila kama kapuku msala
Anaolewa hata wanaume kutokana na mabadiriko ya uchumi na utafutaji wanachelewa sana kuoa ndio Kuna wengi Wana 35 na hawajaoa nasio kwamba wameupenda hiyo haliAnaolewa au anaoa?