Kama una miaka 40+ na hauna maambukizi ya HIV/AIDS mshukuru Mungu marijali tumepitia kipindi kigumu sana

Kwa nini miaka 40+? Kwa sababu kwa umri huo hata ukiupata ukipiga dawa unaweza kutoboa miaka 60 ambao ni life expectancy ya mtanzania.

Tumepitia kipindi kigumu sana,nakumbuka nikiwa O level dispensary ya shule sindano zinachemshwa kama Mayai ,hakukuwa na disposable syringe,nesi akipitiwa mtashare hiyo sindano. Kumbuka filamu za ukimwi za kutishana kama Neira ya Oliver Mtukudzi ukiangalia hata demu akikupa bure muda huo unakataa. Kumbuka wapendwa wetu waliokufa mifupa mitupu na nywele kunyonyoka kichwani.

Kumbuka vitoto vichanga vilivyokufa baada ya kuzaliwa na ukimwi. ARV zimefanya watu hatuogopi, tunapelekeana moto kibabe na uzuri ni kwamba wanaotumia dose vizuri,virusi vinafubaa,hawawezi kuambukiza kirahisi.

Zamani hufungishwi ndoa msikitini wala kanisani bila cheti cha majibu ya ukimwi.

Tumeteseka sana.
Kweli Kabisa.
 
1995 ndio niliona muathirika wa ukimwi kwa mara ya kwanza. It was terrible vile alikuwa katika stage za mwisho....

Leo hii hata mtu akiwa + ndio ananawiri, tyako kama lote, kweli 40+ ukiwa na ngoma unakufa na 60+, shida ni kubwia hayo maharage.
 
Hivi ukimwi upo kweli [emoji848] ( Si kwa ubaya lakini ) toka nizaliwe sijawahi bahatika kumuona mtu mwenye ukimwi
Weka mikono yako kifuani sema Mungu nisamehe ,nimekosa mimi nimekosa sana kusema maneno haya,ofcoz mliozaliwa kuanzia mwaka 2000 mnadhani ukimwi haupo,ila upo kuwa makini
 
1995 ndio niliona muathirika wa ukimwi kwa mara ya kwanza. It was terrible vile alikuwa katika stage za mwisho....

Leo hii hata mtu akiwa + ndio ananawiri, tyako kama lote, kweli 40+ ukiwa na ngoma unakufa na 60+, shida ni kubwia hayo maharage.
Vibinti vilivyozaliwa kuanzia 2000 havijawahi kuona hao wagonjwa ndio maana vinaogopa mimba kuliko ukimwi
 
Ila kiukweli huu ugonjwa ulitesa watu zama hizo.
Yaani mtu anabaki kichwa tu!.
Kuna sister mmoja alifariki mwaka 1994 dah aisee acheni tu.
Nakumbuka tunaenda kumuona unaangalia kitandani huoni mtu unaona kitanda kimetandikwa tu,yaani mpaka alivyoongea ndio unajua hapa kumbe kuna mtu!.
 
Mitungo Ile, dah..... Wapi manniga wangu, Shommy Bigga, Gill Biz, Kabilu, Andy, Tha Kabole, Bau.... Na Kabilu akaenda kuvalia suruali makaburini
Kwa nini miaka 40+? Kwa sababu kwa umri huo hata ukiupata ukipiga dawa unaweza kutoboa miaka 60 ambao ni life expectancy ya mtanzania.

Tumepitia kipindi kigumu sana,nakumbuka nikiwa O level dispensary ya shule sindano zinachemshwa kama Mayai ,hakukuwa na disposable syringe,nesi akipitiwa mtashare hiyo sindano. Kumbuka filamu za ukimwi za kutishana kama Neira ya Oliver Mtukudzi ukiangalia hata demu akikupa bure muda huo unakataa. Kumbuka wapendwa wetu waliokufa mifupa mitupu na nywele kunyonyoka kichwani.

Kumbuka vitoto vichanga vilivyokufa baada ya kuzaliwa na ukimwi. ARV zimefanya watu hatuogopi, tunapelekeana moto kibabe na uzuri ni kwamba wanaotumia dose vizuri,virusi vinafubaa,hawawezi kuambukiza kirahisi.

Zamani hufungishwi ndoa msikitini wala kanisani bila cheti cha majibu ya ukimwi.

Tumeteseka sana.
 
Ila kiukweli huu ugonjwa ulitesa watu zama hizo.
Yaani mtu anabaki kichwa tu!.
Kuna sister mmoja alifariki mwaka 1994 dah aisee acheni tu.
Nakumbuka tunaenda kumuona unaangalia kitandani huoni mtu unaona kitanda kimetandikwa tu,yaani mpaka alivyoongea ndio unajua hapa kumbe kuna mtu!.
Hatari sana
 
Ukimwi wa kabla ya ARV ulikuwa wamoto sana

Nakumbuka kipindi cha beti mkwasa UKIMWI NI HUU
Daaah ilikuwa noma sana

Kwa mara ya kwanza namshuhudia mtu Mwenye ukimwi zile stage za mwisho mwisho, ananuka kama maiti ilihali bado anapumua

Na ukimwi ule, ukishaanza kuugua tu, ngoma hairudi nyuma hiyo

Hata ndugu zako wanakuvutia muda, ila wanajua nini kinaenda kutokea
 
1995 ndio niliona muathirika wa ukimwi kwa mara ya kwanza. It was terrible vile alikuwa katika stage za mwisho....

Leo hii hata mtu akiwa + ndio ananawiri, tyako kama lote, kweli 40+ ukiwa na ngoma unakufa na 60+, shida ni kubwia hayo maharage.
Kwahiyo unasemaje...hutumii ndomu tena?
 
Vibinti vilivyozaliwa kuanzia 2000 havijawahi kuona hao wagonjwa ndio maana vinaogopa mimba kuliko ukimwi
Kwa kweli 90s mambo yalikuwa sio poa, upo nje unasikiliza mtu anarap ndani, ukiingia kinaonekana kichwa tu, nywele zimenyonyoka amebaki mifupa tupu...95 niliona live, 97 tena jamaa mmja wa kijijini akaugua..aaagr it was terrible!!
 
Kwa nini miaka 40+? Kwa sababu kwa umri huo hata ukiupata ukipiga dawa unaweza kutoboa miaka 60 ambao ni life expectancy ya mtanzania.

Tumepitia kipindi kigumu sana,nakumbuka nikiwa O level dispensary ya shule sindano zinachemshwa kama Mayai ,hakukuwa na disposable syringe,nesi akipitiwa mtashare hiyo sindano. Kumbuka filamu za ukimwi za kutishana kama Neira ya Oliver Mtukudzi ukiangalia hata demu akikupa bure muda huo unakataa. Kumbuka wapendwa wetu waliokufa mifupa mitupu na nywele kunyonyoka kichwani.

Kumbuka vitoto vichanga vilivyokufa baada ya kuzaliwa na ukimwi. ARV zimefanya watu hatuogopi, tunapelekeana moto kibabe na uzuri ni kwamba wanaotumia dose vizuri,virusi vinafubaa,hawawezi kuambukiza kirahisi.

Zamani hufungishwi ndoa msikitini wala kanisani bila cheti cha majibu ya ukimwi.

Tumeteseka sana.
Tarajia ongezeko kubwa mpaka hii baridi inaisha.. watu watakuwa wameshapeana joto la kutosha
 
Back
Top Bottom