Kama una miaka 40+ na hauna maambukizi ya HIV/AIDS mshukuru Mungu marijali tumepitia kipindi kigumu sana

Kweli Kabisa.
 
1995 ndio niliona muathirika wa ukimwi kwa mara ya kwanza. It was terrible vile alikuwa katika stage za mwisho....

Leo hii hata mtu akiwa + ndio ananawiri, tyako kama lote, kweli 40+ ukiwa na ngoma unakufa na 60+, shida ni kubwia hayo maharage.
 
Hivi ukimwi upo kweli [emoji848] ( Si kwa ubaya lakini ) toka nizaliwe sijawahi bahatika kumuona mtu mwenye ukimwi
Weka mikono yako kifuani sema Mungu nisamehe ,nimekosa mimi nimekosa sana kusema maneno haya,ofcoz mliozaliwa kuanzia mwaka 2000 mnadhani ukimwi haupo,ila upo kuwa makini
 
1995 ndio niliona muathirika wa ukimwi kwa mara ya kwanza. It was terrible vile alikuwa katika stage za mwisho....

Leo hii hata mtu akiwa + ndio ananawiri, tyako kama lote, kweli 40+ ukiwa na ngoma unakufa na 60+, shida ni kubwia hayo maharage.
Vibinti vilivyozaliwa kuanzia 2000 havijawahi kuona hao wagonjwa ndio maana vinaogopa mimba kuliko ukimwi
 
Ila kiukweli huu ugonjwa ulitesa watu zama hizo.
Yaani mtu anabaki kichwa tu!.
Kuna sister mmoja alifariki mwaka 1994 dah aisee acheni tu.
Nakumbuka tunaenda kumuona unaangalia kitandani huoni mtu unaona kitanda kimetandikwa tu,yaani mpaka alivyoongea ndio unajua hapa kumbe kuna mtu!.
 
Mitungo Ile, dah..... Wapi manniga wangu, Shommy Bigga, Gill Biz, Kabilu, Andy, Tha Kabole, Bau.... Na Kabilu akaenda kuvalia suruali makaburini
 
Hatari sana
 
Ukimwi wa kabla ya ARV ulikuwa wamoto sana

Nakumbuka kipindi cha beti mkwasa UKIMWI NI HUU
Daaah ilikuwa noma sana

Kwa mara ya kwanza namshuhudia mtu Mwenye ukimwi zile stage za mwisho mwisho, ananuka kama maiti ilihali bado anapumua

Na ukimwi ule, ukishaanza kuugua tu, ngoma hairudi nyuma hiyo

Hata ndugu zako wanakuvutia muda, ila wanajua nini kinaenda kutokea
 
Zile dawa za ARV wewe zisikie tu , unaweza ukasema bora nife kuliko kuendelea kumeza,nilishawahi kumeza mwezi mzima niliuona moto.
Ulimeza PEP sio, siku hizi zimeboreshwa hazina mawenge.
 
1995 ndio niliona muathirika wa ukimwi kwa mara ya kwanza. It was terrible vile alikuwa katika stage za mwisho....

Leo hii hata mtu akiwa + ndio ananawiri, tyako kama lote, kweli 40+ ukiwa na ngoma unakufa na 60+, shida ni kubwia hayo maharage.
Kwahiyo unasemaje...hutumii ndomu tena?
 
Vibinti vilivyozaliwa kuanzia 2000 havijawahi kuona hao wagonjwa ndio maana vinaogopa mimba kuliko ukimwi
Kwa kweli 90s mambo yalikuwa sio poa, upo nje unasikiliza mtu anarap ndani, ukiingia kinaonekana kichwa tu, nywele zimenyonyoka amebaki mifupa tupu...95 niliona live, 97 tena jamaa mmja wa kijijini akaugua..aaagr it was terrible!!
 
Tarajia ongezeko kubwa mpaka hii baridi inaisha.. watu watakuwa wameshapeana joto la kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…