Kama una miaka 40+ na hauna maambukizi ya HIV/AIDS mshukuru Mungu marijali tumepitia kipindi kigumu sana

Mkuu Ukimwi ukikukamata. Enzi zile unakonda balaa
 
1995 ndio niliona muathirika wa ukimwi kwa mara ya kwanza. It was terrible vile alikuwa katika stage za mwisho....

Leo hii hata mtu akiwa + ndio ananawiri, tyako kama lote, kweli 40+ ukiwa na ngoma unakufa na 60+, shida ni kubwia hayo maharage.
Cheki hii MISTARI YA PROPAGANDA ZA ARV inavyokwenda kwa vina!

Wow! The PROPAGANDA IS SO DEEP IN THE MIND.

Hapa umepigiliwa misumari mizito mizito ya propaganda kutoka kwenye TELEVISHENI, MAGAZETI, TAARIFA ZA HABARI, MITAALA YA SHULE, MAJARIDA NA VIPEPERUSHI.

Wow!! Just Wow! This shit is DEEP.
 
Raha sana kutembelea rim acha tuu. Yaani mie condom siwezagi kabisa na wala sitaki kusikia hiyo kitu
 
Cheki PROPAGANDA zinavyokwenda kwa vina.

The stories of fake people with a fake disease intended to trap people's minds with FEAR and DESPERATION.

Wow! Just wow! The propaganda is so deep.
 
Hapo mwisho nimecheka,Kuna jamaa anachakata vibinti kabisa likamtenga..

Mamamae akazidisha kuvitia
 
Yaani guest vinywaji nauli chakula na kipozeo nitoe mie alafu nile mbususu na condom nina wazimu?
Naomba wadau msiwasikilize Hawa...yaani tumtumie kondomu jamani nimetoka mbali na kondomu zimenisaidia Sana. Muhimu ni ujue matumizi sahihi.

Lkn pia ukimaliza kula mambo, hata kama ukitumia kondomu ingia pale pale nawa maji na sabuni Kwa sana inasaidia....
 
Yaani acha tuu...kuna mtaa huko iringa watu wana ngoma asilimia 92 ya mtaa...hapo sehemu huwa madereva wa masafa wana paki magari yao kutoka dar au kutoka nchi jirani za congo na zambia huko..

Hapo kama unajipenda usijaribu narudia usijaribu hata kidogo kuwa na demu,uoga ni mzuri kuliko ujasiri kwenye hatari.

Kwanza kuna gest nyingi sana,vilabu vya pombe na baa ni nyingi mnooo,ila makanisa ni mawili tu.

Watu waliopita iringa wanapajua,nawasihi msijaribu kujichanganya hapo.
 
Ilula au
 
Ndiuka hiyo
 
Wee bwana unaogaje na raincoat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…