Kama una miaka 40+ na hauna maambukizi ya HIV/AIDS mshukuru Mungu marijali tumepitia kipindi kigumu sana

Kama una miaka 40+ na hauna maambukizi ya HIV/AIDS mshukuru Mungu marijali tumepitia kipindi kigumu sana

Kwa nini miaka 40+? Kwa sababu kwa umri huo hata ukiupata ukipiga dawa unaweza kutoboa miaka 60 ambao ni life expectancy ya mtanzania.

Tumepitia kipindi kigumu sana, nakumbuka nikiwa O level dispensary ya shule sindano zinachemshwa kama Mayai, hakukuwa na disposable syringe, nesi akipitiwa mtashare hiyo sindano. Kumbuka filamu za ukimwi za kutishana kama Neira ya Oliver Mtukudzi ukiangalia hata demu akikupa bure muda huo unakataa. Kumbuka wapendwa wetu waliokufa mifupa mitupu na nywele kunyonyoka kichwani.

Kumbuka vitoto vichanga vilivyokufa baada ya kuzaliwa na ukimwi. ARV zimefanya watu hatuogopi, tunapelekeana moto kibabe na uzuri ni kwamba wanaotumia dose vizuri, virusi vinafubaa, hawawezi kuambukiza kirahisi.

Zamani hufungishwi ndoa msikitini wala kanisani bila cheti cha majibu ya ukimwi.

Tumeteseka sana.
Dah inaogopesha kuna dem condom ilipasuka ila akanihakikishia hana ukimwi akanionyesha na mtoto wake ananyonyesha ila nina wasiwasi kupima
 
Kwani tatizo la kuusambaza lipo wapi? Life haliko fair bwana and bad things happen to good ppl. Thats life deal with it.
Kama unatumia ARV achana nazo. Zitakumaliza.

Hawa jamaa sio wa mchezo kabisa, sijui ni MAPEPO? Wana namna fulani ya ku-control akili za watu kwa kutumia hofu na DEEP PROPAGANDA.

Hayo masumu ya ARV unayomeza hautibu chochote. Unajiangamiza.

Wewe hauumwi chochote, isipokuwa UMEFUNDISHWA KUAMINI kwamba wewe ni mgonjwa.

Ukishaikomboa akili yako kutoka kwenye hiyo propaganda nzito, HAKIKA utakuwa umepona magonjwa yote.
 
Kweli kabisa nakubaliana nawe. 👍
 
Kweli kabisa mwanaume ukishafika miaka 40 achana kabisa na mambo ya kula mbususu na condom. Maana hata ukiupata bado unaweza kufika miaka 60 bila wasiwasi.
Kisukali, TB, Pressure na Ukimwi ARV haifanyi kitu.

Juzi nimekula mbususu maamae, mtoto tako m.boo juu juu, kondomu Kwa Sana pakit zikaisha, utadhani Sina 40+ Mzee kama nusu saa tunapiga show hata mtoto akadai kumbe wewe sio Mzee....nikajibu ndio....

Dakika 35 si nikavua ndom ibaki nyama Kwa nyama ....Sasa hivi nipo dispensary kupima ngoma....nikisikilizia kama m.boo itawashawasha...au dalili yyt, sisi wanaume hukai wiki lazima kama kitu kimenasa ..lkj Mzee hola, Ile nyama Kwa nyama kojo linatema mapema
 
Back
Top Bottom