Kama una miaka 40+ na hauna maambukizi ya HIV/AIDS mshukuru Mungu marijali tumepitia kipindi kigumu sana

Kama una miaka 40+ na hauna maambukizi ya HIV/AIDS mshukuru Mungu marijali tumepitia kipindi kigumu sana

Utapata kwa unayemuamini bora ujito.mbee tu....maisha mafupi haya [emoji848]
Huo ndio ukweli, mimi ukinipa kwa masharti ya ndomu najiondokea tu coz najua sitaenjoy. Natafuta courage ya kupima, then najua ni mwendo wa kupimana kabla ya kuchezea kitobo.

Japo kuchepuka naogopa sana, ila mbususu moja inachosha sana jamani.
 
naachaje kwa mfano?.
kuna siku nilikuwa najifanyia evaluation, nikagundua mpaka sasa kwa umri wangu huu wa 40s, nimechakata mbususu zaidi ya 200(mia mbili).

na kuhusu kuuza mechi huwa nauza sana, ni Mungu mwenyewe tu huwa ananilinda.
Ndugu zangu watanzania, huu ugonjwa umekaa pabaya. Vijana wanapataka wazee wanapataka 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kweli aisee ukimwi wa zamani noooma sana nakumbuka 99 kuna dada aliumwa yani alipata majipu matakon hata kukaa hawezi aliisha na kuna mwalimu wetu wa primry nae aliupata yani chumba chake kikawa kinaharufu ya kabichi mbichi aisee huu ugonjwa ni laaana.
Lakini magonjwa yote ni laana, ushakutana na mtu mwenye kansa ya ziwa anavyonuka? Ni kuomba tu asee.
 
naachaje kwa mfano?.
kuna siku nilikuwa najifanyia evaluation, nikagundua mpaka sasa kwa umri wangu huu wa 40s, nimechakata mbususu zaidi ya 200(mia mbili).

na kuhusu kuuza mechi huwa nauza sana, ni Mungu mwenyewe tu huwa ananilinda.
Kwa kweli, hii ya kuuza mechi tena kwa mtu hamfahamiani vizuri ni shida kubwa. Japo pia naona kama kweli kila unayelala nae kama yupo +ve anakupa, basi tungekuwa tumekwisha hadi leo hii.
 
Hivi ukimwi upo kweli [emoji848] ( Si kwa ubaya lakini ) toka nizaliwe sijawahi bahatika kumuona mtu mwenye ukimwi
Ukimwi hauonekani kwa macho. Japo ukiwa makini kutazama mwenye ukimwi utamjua tu

Ngozi huwa hufubaa haina nuru, na midomo huwa na rangi nyekundu na mpauko fulani.

Kwa mwili wengi siku hizi hula dawa hawakondi na wanajitahidi kula vizuri.

Mshukuru Mungu kama ukoo wenu hawajafa kwa ukimwi

Hili gonjwa lipo, watu wana siri zao na waambukiza sana.
 
Ahaaa kuna uzi wangu humu utafute kwa miaka 20 nimestack sijanenepa wala kuzeeka wala kuongezeka hata kilo moja, i look like 25, nachakata vibinti vya chuo kama nini na havinipi shikamoo, kuna mmoja nimesoma na mama yake, hajawahi kuniamkia ananiambia mambo, tunachakatana na tunaongozana njiani bila shida. Niligombea uzee wa kanisa wakaninyima kisa naonekana kijana nikaamua kuacha kusali.
Muhun unataka kupewa uzee wa kanisa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mi nina swali, ni kwa nini mtu anaanza kuugua pale tu anapopewa majibu kuwa ana UKIMWI?

Ni kwa nini mtu asipopima nadunda tu?
Sina hakika Sana Ila Nadhani anakuwa Bado yupo katika hatua za mwanzo na Kinga zake zinakuwa zipo juu, akishajua kwamba kapata VVU, hapo anaanza kuwa na stress hivyo Kinga zake zinapungua Kwa Kasi Sana ndio hapo dalili zinaanza kuonekana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli kiongozi sisi Malegendari tumekwepa mishale mingi...

Nakumbuka miaka hiyo ukipiga bea wiki nzima una mawazo..
ila kweli kipindi kile ukipiga bea unaanza kufikiria jinsi utakavyoanza kukonda kama skrepa...nakumbuka nilikuwa nakwenda kujimwagia fasta maji ( style ya Rais mstaafu Zuma) baada ya kutoka kwenye utelezi....lakini siku hizi nakaribia miaka 50 niko nanyoosha tu bea kwenye utelezi wa vibinti vya 20s -30s kama sina akili nzuri...najua nikiukwaa miaka hii naweza ishi na kula bata mpaka 70's huko...dah kwa kweli Mungu ametusitiri sana
 
Back
Top Bottom