Kama una mpango wa kuja South, zingatia mambo haya sita kabla ya kuanza safari yako

Raia waishio Soweto jijini Johannesburg jana usiku wa kuamkia leo wamevamia maduka kadhaa ya wageni na kuiba kila kitu kilichokuwa katika maduka hayo. Baadhi ya raia hao wamesikika wakisema kuwa sababu ya wao kuiba ni kulipa kisasi baada ya polisi wao kudharauliwa na wageni wiki mbili zilizopita,pia wapo waliodai kuwa bidhaa hizo ni fake na wapo wailodai kuwa wageni wanawachukulia dada zao na kazi zao.

Your browser is not able to display this video.
 
MACHAFUKO YALIYOTOKEA AFRIKA KUSINI .WAAFRIKA WA AFRIKA YA KUSINI WANAWAUWA WAGENI WAAFRIKA WENZI WAO NA KUWAPORA MALI ZAO

Your browser is not able to display this video.
 
MACHAFUKO YALIYOTOKEA AFRIKA KUSINI .WAAFRIKA WA AFRIKA YA KUSINI WANAWAUWA WAGENI WAAFRIKA WENZI WAO NA KUWAPORA MALI ZAO


Your browser is not able to display this video.
 
Perfect kabisa, yani wala haujakosea. Huu utamaduni umezoeleka na kila mtu yupo makini na mwenzake. Kimbembe kwa aliekaa siti ya mbele kama hajui hesabu na kuwazidishia abiria chenji alaf ampe dereva nauli pungufu.

Bora mtu uwe na hela yako yani isipoenea unaongezea kimya kimya 🀣🀣🀣
 
Bwana Mohammed Murshid amesema kuwa anepoteza bidhaa zenye thamani ya Rand M3 ambayo aliiwekeza dukani kwake. Bwana Murshid amesema kuwa kwa sasa hana chochote na anahisi huu ndo mwisho wa maisha yake
Share na wenzako


Your browser is not able to display this video.
 
Tukiamua tunaweza ila kuamua kila mtu kua na basi ndo mana iyo systen haiwezekani
Kwa Tz hiyo ni ngumu sana. Kwanza mabasi yote yanazidisha abiria. Basi la kupanda abiria 50, wao wanapakiza 100, wengine wamekaa wengine wamesimama mbanano.

Sasa hapo hauwezi kujua kuwa nani amelipa na nani hakulipa 🀣🀣🀣
 
sasa kwann abiria wengine wasimpe nauli dereva na wampe aliekaa karibu na dereva bila kujali kama ni mwenzao?
 
Nimefurahi kukuona kwenye huu uzi boss.
 
Za kawaida ni kama kazi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…