Kama una mpango wa kuja South, zingatia mambo haya sita kabla ya kuanza safari yako

Mm nilifikiri wakorofi sio foreigners ni wazawa.kumbe wote
 
Umeongelea dini ya Chembe ndo dini gani.?
Wapi nimeongelea dini ya chembe mkuu?
Au labda umesoma vibaya?

Hata hivyo kuna dhehebu lao linaitwa shembe ambalo lilianzishwa na kiongozi fulan wa dini aliechanga mila na tamaduni za kizulu pamoja na mafundisho ya dini miaka mingi iliypita.

Huyo shembe wazulu wengi wanaamini kuwa alikuwa mwakilishi wa Mungu hapa duniani. Na kila mwaka huenda katika kaburi lake huko kwao kuhiji.
 
Duh! Ni noma ina maana samaki wanaliwa na foreigners kwa sana au hata upatikanaji wake ni wa shida?
Jamaa walipigwa kofi la macho toka enzi za ukoloni, ili wasijue faida na utamu wa samaki. Unakuta jitu kubwa, na wengine wana elimu lakini likiona samaki halikai karibu et halipendi harufu yake (shombo) 🤣🤣🤣

Samaki wanapatikana wengi sana kutokana na eneo kubwa la ardhi kuzungukwa na bahari. Lakini wazungu huwavua samaki hao kwa kutumia njia za uvuaji wa kisasa na kuwasafirisha Ulaya, Marekani, Australia na kwengineko.

Sisi wageni mara nyingi hula samaki wanaotokea msumbiji.
 
Hahahah 🤣 kwa sauti alie kabwa katoka nduki full kujikausha km hakuna kilicho tokea vile. Watu 5 kwa mmoja sio poa kiongozi
Yani unakabwa huku unachezea vitasa. Lazima ulegee tu na kuwaachia wababe wachukue vyao 🤣🤣🤣
 
Nimechanganya Mkuu ahsante kwa maelekezo uliyotoa na kwa marekebisho.

. Kwaiyo hao hawatumii Biblia hii ya kikristo.? Utaratibubwa Ibada zao ukoje.?
 
Nimechanganya Mkuu ahsante kwa maelekezo uliyotoa na kwa marekebisho.

. Kwaiyo hao hawatumii Biblia hii ya kikristo.? Utaratibubwa Ibada zao ukoje.?
Kwanza wana biblia yao ambayo ni tofauti ni ile ya ki kristo.

Pili wana sali siku ya J'mosi.

Tatu kwa namna fulan ibada zao zinataka kufanana na za kiislam manake wanaume na wanawake hawakai pamoja wanatenganishwa,

wana sali kwenye mkeka kama waislam. Wanaume wengi hufuga ndevu kama waislam japo hii nahisi na culture yao inachangia. Halafu hubeba ile waislam wanaita tasbihi mkononi.

Nne huvaa kanzu na wengine huvaa mavazi ya asili ambayo ni ngozi nk.

Mengine siyajui sana kwani nawaonaga juu juu tu wakiwa wanafanya ibada zao.
 
Ahsante
 
Huu utaratibu kama kwetu Mbagala kila siku dereva anakuwa anapokea nauli pungufu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…