Kama una mpango wa kuoa, jifunze hapa

Sawa nyie tulieni na hizo ndoa zenu za miaka mingi, hapa tunawashauri vijana wanaofikiria kuingia kwenye ndoa.
Alafu hiyo Amani na Upendo kwenye ndoa zenu hakuna, mnaishi kwa kuigiza ila ndani ni maumivu na majuto.
Tatizo lenu mnatamani sote tuoe tuhangaike kama nyie!
 
Umeandika vema mno, shida ilianzia Kanisani na kukamilishwa Beijing.
 

Ni heri ukose hiyo amani lakini watoto waipate! Huo ni ubinafsi na utapata hiyo amani duniani lakini Mbinguni utaikosa kwa uzinzi!
 
Ni heri ukose hiyo amani lakini watoto waipate! Huo ni ubinafsi na utapata hiyo amani duniani lakini Mbinguni utaikosa kwa uzinzi!
Watoto wangu wana amani tele, nawalea na kuwahudumia vema zaidi ya waliozaliwa ndani ya ndoa.
Ubinafsi ni kutaka kuoa kujifurahisha wewe huku ukiwaingiza watoto kwenye migogoro yenu ya ndoa.
 
hivi hili suala LA kusema mkiachana mkeo anabeba mali zako mmelitoa wapi, au ndo mmelibeba tu mitandaoni mmeliweka vichwani, hakuna sheria kama hiyo, mwanamke hawezi kubeba kitu ambacho hakina jina lake otherwise uwe uliandika jina lake which is wrong, ndo maana nasema kila siku unapofanya maamuzi utumie akili na si hisia sasa kama uliandika jina lako na la mkeo kwenye hati hiyo ni lazima mtagawana kinyume na hapo mwanamke hana nguvu ya kuchukua mali yako yoyote mpaka utakapofariki
 
Umeenda tena kwnye story za kusadikika za juma na uledi
 
Ukishazaa na mwanamke umeumia. Mkiachana huwa anabaki na watoto na hicho ndo kinakuwa kigezo kikuu cha kuchukua mali (wenyewe wanasema za watoto) na hapo bado utakuwa na kazi ya kumtunza yeye, kibenten chake kipya na watoto wako!
 
Ukishazaa na mwanamke umeumia. Mkiachana huwa anabaki na watoto na hicho ndo kinakuwa kigezo kikuu cha kuchukua mali (wenyewe wanasema za watoto) na hapo bado utakuwa na kazi ya kumtunza yeye, kibenten chake kipya na watoto wako!

mkuu, hakuna kitu kama hiko otherwise nae awe amehusika kwenye utafutaji wa hvyo vitu, ukiachana na mwanamke utatakiwa umpe matunzo ya watoto basi hayo mengine ni umbumbu wetu wa kutokujua sheria
 
Nikimpata tu nyonga mkalia ini naoa chap,hakuna kitu cha kipekee kama kukuza mtoto wako katika malezi ya baba na mama.
 
Huu ni upuuzi mwingine,kwani nje ya ndoa watu hawapati magonjwa?na swala la kutawaliwa na mwanamke,nicmtazamo tu WA hovyo.
Mo ameoa anatawaliwa na mkewe?GSM ameoa anatawaliwa na mkewe?
Ufumbuzi wa tstizo sio kulikimbia au kumuua mgonjwa,tafuta tiba.
Ni kweli ndoa ina majanga Mengi,unaoa leo kesho unafumania mkeo ameinamishwa na boyfriend wake wa zamani.
Swala sio kuacha kuoa,jiulize Hawa vijana wanaoingia kwenye ndoa wametoka wapi?Wana malezi gani?
Familia,ndoa ndio msingi wa Taifa,mtoto anaanza kujengwa kwenye familia,huwezi kuondoa ndoa kwenye mstakabali wa Taifa,
Vijana wapewe Elimu kuhusu ndoa kwwnza,
 
Ndoa ni nzuri kwa mwanamke , ila kwa kipindi hiki kwa mwanaume ndoa haina faida yoyote , yani hakuna mwanaume ananufaika na ndoa , Ronaldo ana mke ila hana ndoa , akifunga ndoa saiv itakua na faida kwa nan zaidi kutakapotokea changamoto?
Respect kwa msimamo wako mkuu. Haupingwi maana ni mtazamo wako. Respect
 
Sema watoto wa nje ya ndoa mnaukosefu wa maadili sana. Hivi kuna mtoto aliyezaliwa ndani ya ndoa yenye baraka atachukia kuwa na ndoa?
 
Nilishaandikaga sana hapo nyuma namna mwanaume anaweza kupata mke mwema. The only way katika hii corrupted world, ukapata mke mwema ni kwa Mungu pekee. Na nikasema kabisa ili upate mke mwema lazima kwanza ukubali kusubmit under God's authority.

Mungu ndo atoaye jicho la ndani ili uweze kutambua nani ni mke. Katika maandiko ya imani yangu, neno linasema mke mwema ana thamani zaidi ya Ruby(Mith 31:10). Ikiwa wanaochimba madini wanafanya either ushirikina au kuomba Mungu (kama wapo) ili kupata madini na they mean business je si zaid mke mwema? Maana kama ana thamani kuzidi ruby, it means mke mwema ni very expensive.

Watu wanafunga biashara na kutenga siku kabisa ili fedha waikamate je si zaid mke mwema? Kumpata mke mwema ni nzuri zaidi kama utatafuta msaada wa kiroho ili umjue vizuri. Maana kuna makucha mwanamke anaweza kuyaficha ili ayaonyeshe baadae lakin Mungu aonae sirin lazima atakufunulia ikiwa umekaa nae vizuri. So ni lazima mwanaume asubmit under full authority of his Master ambae ni Bwana Mungu, ili apate kilicho chema.

Kuna ambao huwa wanaenda kwa waganga ili kujua kama mwanamke wa kuoa ndo huyu au siye. Sasa baadhi ya wanaume hawatafuti msaada kwa Mungu au basi upande wa pili watamjuaje mke mwema? Ndoa nzuri ni kipengele mno hasa nyakati hizi za mwisho. Bila msaada wa kiroho mambo hayataenda.

Wengne wataobject na kusema unaweza uonyeshwe na bado akaja kubadilika ni kweli. Lakin hata biashara, au fedha si ingeweza kuisha. Kama hauko tayari for the risks then dont marry or get married. Ndoa is for the strong. Only the strong shall win. Kila mtu apambane na chaguo lake.
 

wakati ww unapika na kufua mwanamme anakuwa amekaa tu ama, yeye hawajibiki kwa lolote
 
Kiukweli Niwe muwazi, naweza nikaja kuoa (baadae) lakini ndoa si kitu cha kukimbilia. Ikiwezekana sitaoa kabisa.

Kuna ule ujinga wanawake wa kisasa wanao, ukianza tu kufanikiwa anatafuta njia ya kuachana Ili mgawane mali. Na wale waalimu wanavyom-pump, utasikia

"Shogaang nenda ustawi wa jamii upate haki yako. Mpelekeko"


Fƍk marriage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…