Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
Nakubali mkuu.Hapna mkuu awezi fanya hivo..
Mpaka mtu anagongwa jua kuna panya kwenye cycle yenu...
An mi mke wangu kugongewa hiyo nakataa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubali mkuu.Hapna mkuu awezi fanya hivo..
Mpaka mtu anagongwa jua kuna panya kwenye cycle yenu...
An mi mke wangu kugongewa hiyo nakataa mkuu
Hakuna kitu ka hichoIla wanaume mnaongoza kwa kuleta magonjwa nyumbani.
Mnashindwa ku control hisia unakuta jitu limeenda bar, kaokota mdada pombe zimemkolea wanamalizana kwenye gari, kinga anakumbuka saa ngapi! Sijui mna shida gani. Ukitoka hapo unauleta kwa mkeo, mkeo nae hajui ananyonyesha mtoto anamuambukiza. MbwaHakuna kitu ka hicho
Daaah kweli aiseee haya mambo haya.🥺🥺🥺🥺Mnashindwa ku control hisia unakuta jitu limeenda bar, kaokota mdada pombe zimemkolea wanamalizana kwenye gari, kinga anakumbuka saa ngapi! Sijui mna shida gani. Ukitoka hapo unauleta kwa mkeo, mkeo nae hajui ananyonyesha mtoto anamuambukiza. Mbwa
Sasa sio magonjwa tu. Mda mwengine mnabeba na maroho machafu huko mnayaleta nyumbani unakuta unaanza kufilisika maradhi ndani hayaishi maana umeenda huko kuchanganya jasho lako na la kahaba. Men! Why?Daaah kweli aiseee haya mambo haya.🥺🥺🥺🥺
Sijui kwanini baadhi yao wapo hivo hapa kweli nimekubali tunaongoza kwa huu ujinga..
Sema wengi ambao wapo hivi ni wale wanaume hovyo kabisa...
Maana wengine sisi hata kama tunafanya hivo ila tuna play safe mkuu
Daah basi basi... Nimesikia sasa naahidi tabadilika 🙌🙌🙌🤝🤝🙏🙏🙏...Sasa sio magonjwa tu. Mda mwengine mnabeba na maroho machafu huko mnayaleta nyumbani unakuta unaanza kufilisika maradhi ndani hayaishi maana umeenda huko kuchanganya jasho lako na la kahaba. Men! Why?
Halafu type hizo no 2 wanawake wengi wa siku hizi hawana time nao.1) Hana pesa
2) Ni Mwenye hofu ya Mungu.
3) Ni mgonjwa.
Nje ya hapo, bakora ni lazima😜😜
Hivi ni kwanini alafu hii ni serious ishu mkuu ujue...Halafu type hizo no 2 wanawake wengi wa siku hizi hawana time nao.
4)hajiamini1) Hana pesa
2) Ni Mwenye hofu ya Mungu.
3) Ni mgonjwa.
Nje ya hapo, bakora ni lazima😜😜
Uzoefu unaonyesha hofu ya Mungu siyo kizuizi cha binadamu kufanya maovu. Hivi kuna watu wanaojua undani wa Mungu na maandiko kama viongozi wa dini? Mbona wao ndiyo wanaongoza kwa kuchepuka? Kinachozuia mwanamme kuchepuka ni makuzi aliyopata na utamaduni wa sehemu aliyozaliwa na kikubwa zaidi tabia ya mke wake.1) Hana pesa
2) Ni Mwenye hofu ya Mungu.
3) Ni mgonjwa.
Nje ya hapo, bakora ni lazima😜😜
Wanapenda mikiki na uke wenza.Wanawake wachache mnoo...... ndio wanapenda za walokole/good guy/nice guy.Hivi ni kwanini alafu hii ni serious ishu mkuu ujue...
Ahahahha tunakula bure mashangazi mkuu wala si uwongo 😁😁😁😁Wanapenda mikiki na uke wenza.Wanawake wachache mnoo...... ndio wanapenda za walokole/good guy/nice guy.
Ndio maana maplayboy, wahuni na waume walio kwenye ndoa wanapendwa mno.
Nawaoneaga huruma good guy/church boy wanaotumiaga fedha ili kuwatuliza wanawake,halafu kuna wahuni hawatumii hata senti ila wanapewa bure.
Una mafua na kikohozi kikali sana.Tumia kofta.ZIO WODE MKUHUUU GUNA WEGINE ZIZI NI WASDARABU