joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Hamna mistake kubwa kama kuyachukulia mapenzi seriously hasa kwa kutumia fedha, mwanamke kama anakupenda hutotumia nguvu kubwa ya pesa.Ahahahha tunakula bure mashangazi mkuu wala si uwongo ππππ