Kama una Mume asiyechepuka, basi ana mojawapo kati ya sababu hizi

Kama una Mume asiyechepuka, basi ana mojawapo kati ya sababu hizi

Kijana una uhovyo sana
Mashangaz utaja yachoka tu
Naanzaje namchokaje huyu kwa mfano
Screenshot_20240522-024213_2.jpg
 
Mnashindwa ku control hisia unakuta jitu limeenda bar, kaokota mdada pombe zimemkolea wanamalizana kwenye gari, kinga anakumbuka saa ngapi! Sijui mna shida gani. Ukitoka hapo unauleta kwa mkeo, mkeo nae hajui ananyonyesha mtoto anamuambukiza. Mbwa
For me Malaya huwa nawaonaga Kama ma VEMPIRE πŸƒπŸƒπŸƒ
 
1) Hana pesa

2) Ni Mwenye hofu ya Mungu.

3) Ni mgonjwa.

Nje ya hapo, bakora ni lazima😜😜
Nakubaliana na namba 2 na 3 tu.

Namba moja HAPANA. Wapo wanaume wamechoka kiuchumi lkn vitombi hatari .
 
Kigezo cha kutokuwa na pesa siyo hoja mie nadhani UGONJWA NDO ISHU KUBWA lakini kukosa pesa siyo ishu
 
Back
Top Bottom