Kama una mwanao au dogo lako ameanza kufuatilia habari za kimataifa mwambie akae mbali na hizi chaneli

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
1: CNN
- Atafunsdishwa sympath juu ya ushoga na kwamba ni sawa kuwa shoga na kusambaza ushoga.

- Atafundishwa kuwa mwanaume sio tena ngome ya familia, ataishia kuvaa vipensi vifupi vya kubana mapaja na kwenda kulalamika kuhusu mke wake baa kwa marafiki zake bila kufanya maamuzi yoyote kisa ameamua feminist.

2: AL-JAZEERA
-Atafundishwa uongo wa upande wa dunia inayo tetea ugaidi na mienendo ilio extreme na radicals kisa tu hao radicals wanafanan itikadi na ukanda na wanaomiliki chaneli hio

-Atafundishwa kuchukia demokrasia na uhuru na kuwa kilaza wa kutetea haki zake za msingi kisa tu zinavuka mipaka ya tamaduni za dini yake au mamlaka yake.
 
1: CNN
-atafunsdishwa sympath juu ya ushoga na kwamba ni sawa kuwa shoga na kusambaza ushoga.

-atafundishwa kuwa mwanaume sio tena ngome ya familia, ataishia kuvaa vipensi vifupi vya kubana mapaja na kwenda kulalamika kuhusu mke wake baa kwa marafiki zake bila kufanya maamuzi yoyote kisa ameamua feminist.

Aangalie channels zipi?
 
Umeanza vizuri ila paragraph ya mwisho umeharibu.

Habari ni kwa manufaa ya wanaokupa habari na sio wewe "unayelishwa" habari!
Habari zenye manufaa ni kwa ajili ya "insiders" Tu, wewe wanakupa makapi na ujinga ili kukudhoofisha.
 
1746247111700.jpg
 
1: CNN
-atafunsdishwa sympath juu ya ushoga na kwamba ni sawa kuwa shoga na kusambaza ushoga.

-atafundishwa kuwa mwanaume sio tena ngome ya familia, ataishia kuvaa vipensi vifupi vya kubana mapaja na kwenda kulalamika kuhusu mke wake baa kwa marafiki zake bila kufanya maamuzi yoyote kisa ameamua feminist.

2: AL-JAZEERA
-Atafundishwa uongo wa upande wa dunia inayo tetea ugaidi na mienendo ilio extreme na radicals kisa tu hao radicals wanafanan itikadi na ukanda na wanaomiliki chaneli hio

-Atafundishwa kuchukia demokrasia na uhuru na kuwa kilaza wa kutetea haki zake za msingi kisa tu zinavuka mipaka ya tamaduni za dini yake au mamlaka yake.
Watu wanaosikiliza redio hulishwa uchafu mwingi sana.

Kiasi kikubwa huwa uongo uliopakwa rangi tu.
 
1: CNN
-atafunsdishwa sympath juu ya ushoga na kwamba ni sawa kuwa shoga na kusambaza ushoga.

-atafundishwa kuwa mwanaume sio tena ngome ya familia, ataishia kuvaa vipensi vifupi vya kubana mapaja na kwenda kulalamika kuhusu mke wake baa kwa marafiki zake bila kufanya maamuzi yoyote kisa ameamua feminist.

2: AL-JAZEERA
-Atafundishwa uongo wa upande wa dunia inayo tetea ugaidi na mienendo ilio extreme na radicals kisa tu hao radicals wanafanan itikadi na ukanda na wanaomiliki chaneli hio

-Atafundishwa kuchukia demokrasia na uhuru na kuwa kilaza wa kutetea haki zake za msingi kisa tu zinavuka mipaka ya tamaduni za dini yake au mamlaka yake.
Excellent thinking.
 
Aangalie channels zipi?
Twitter, YouTube, Facebook,awafollow watu wasiocheka na uongo kama mwanadada mwamba na intelligent Candace Owens (very bright, intellect and articulated black woman). Ben Shapiro, Matt Walsh, Dave Rubin, Jordan Peterson, Allie stuckey, Dan Bongino, Michael Knowles, Vivek Ramaswamy, Kari lake etc.

Hawa ni badhi,ila wapo wengine wengi. Ukiwafuata hawa hoja zao zitakufungua macho kuhusu mambo mengi sana yanayoendelea hapa duniani na katika mataifa yetu.

Watakwambia kwann Gaddafi aliuwawa, kwann Bill gates ndie mtu mshenzi kuwahi kuwapo katika kizazi hiki,chuki anayopewa Hitler alitakiwa ahamishiwe yeye.

Mwambie awafollow hao watu atakuwa anapata updates nzuri.
 
Charlie kirk.

Ben shapiro

Fox news
🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom