Kama una mwanao au dogo lako ameanza kufuatilia habari za kimataifa mwambie akae mbali na hizi chaneli

Kama una mwanao au dogo lako ameanza kufuatilia habari za kimataifa mwambie akae mbali na hizi chaneli

As long as his against Homosexuality, feminism, liberals agenda,and stands for patriarchy, am good 😊 with him.

So you tell me, where is he lacking at?
He supports Israel on killing of people bcz he's jew also, advocating for genocide
 
Mnavyokazana kuusema ushoga, kwa kujifanya mnapinga ndivyo mnavyo upa promo na kuusambaza.

Sahivi ushoga sio jambo jipya wala la ajabu, huko vijijini sahivi limeshakua kawaida tUh na watu hawajari wala nn.

Kelele ni kwa keyboard tyuuh, ila uraiani walaaa.
******* wako na wana tambaaa watakavyooo!!

Ushoga woyeeeeeeeeeeeeee!!! 😂😂😂😂😂
 
Namba moja ilikuwa BBC ila wewe utakuwa ni mpenzi wa BBC akili za kuambiwa changanya na za kwako kuna watu hawaangalii hizo channel ila ni watu wa upinde
 
As long as his against Homosexuality, feminism, liberals agenda,and stands for patriarchy, am good 😊 with him.

So you tell me, where is he lacking at?
Mtu ambae unamueleza yeye mwnyewe anaonekana chapati kwahio hatakuelewa hata kidogo😁😁
 
Mnavyokazana kuusema ushoga, kwa kujifanya mnapinga ndivyo mnavyo upa promo na kuusambaza.

Sahivi ushoga sio jambo jipya wala la ajabu, huko vijijini sahivi limeshakua kawaida tUh na watu hawajari wala nn.

Kelele ni kwa keyboard tyuuh, ila uraiani walaaa.
******* wako na wana tambaaa watakavyooo!!

Ushoga woyeeeeeeeeeeeeee!!! 😂😂😂😂😂
Zemanda Angalia watu wanavyofirika hadi wanatengeneza akaunti za kike JF

Inasikitisha sana
 
Namba moja ilikuwa BBC ila wewe utakuwa ni mpenzi wa BBC akili za kuambiwa changanya na za kwako kuna watu hawaangalii hizo channel ila ni watu wa upinde
Bbc ni wale wale ,

Angalia

FOX NEWS

X NEWS

BEN SHAPIRO

CHARLIE KIRK

GAD SAAD

Etc

Hawa hauezi kuta wanafanya ujinga huo
MAMBO YA KISHOGA, ITIKADI KALI, UTOAJI MIMBA, ETC 🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
1: CNN
-atafunsdishwa sympath juu ya ushoga na kwamba ni sawa kuwa shoga na kusambaza ushoga.

-atafundishwa kuwa mwanaume sio tena ngome ya familia, ataishia kuvaa vipensi vifupi vya kubana mapaja na kwenda kulalamika kuhusu mke wake baa kwa marafiki zake bila kufanya maamuzi yoyote kisa ameamua feminist.

2: AL-JAZEERA
-Atafundishwa uongo wa upande wa dunia inayo tetea ugaidi na mienendo ilio extreme na radicals kisa tu hao radicals wanafanan itikadi na ukanda na wanaomiliki chaneli hio

-Atafundishwa kuchukia demokrasia na uhuru na kuwa kilaza wa kutetea haki zake za msingi kisa tu zinavuka mipaka ya tamaduni za dini yake au mamlaka yake.

Yaani kwa technologia ilipofikia wewe unafikiri ukizima CNN & Aljazira kuna kitu umepunguza?
Unachotakiwa ni kufundisha mtoto maudhui ya mtandaoni na jinsi ya kwenda nayo
Huko mtandaoni kuna kila aina ya uchafu hizo ulizotaja wala haziingii kwenye channel 100 chafu
 
1: CNN
-atafunsdishwa sympath juu ya ushoga na kwamba ni sawa kuwa shoga na kusambaza ushoga.

-atafundishwa kuwa mwanaume sio tena ngome ya familia, ataishia kuvaa vipensi vifupi vya kubana mapaja na kwenda kulalamika kuhusu mke wake baa kwa marafiki zake bila kufanya maamuzi yoyote kisa ameamua feminist.

2: AL-JAZEERA
-Atafundishwa uongo wa upande wa dunia inayo tetea ugaidi na mienendo ilio extreme na radicals kisa tu hao radicals wanafanan itikadi na ukanda na wanaomiliki chaneli hio

-Atafundishwa kuchukia demokrasia na uhuru na kuwa kilaza wa kutetea haki zake za msingi kisa tu zinavuka mipaka ya tamaduni za dini yake au mamlaka yake.
Kwahiyo waangalie tibisii
 
Tatizo ni akili na kujitambua Kwa mhusika, cha kwanza kabisa kama mlezi au mzazi unatakiwa kuandaa akili ya unayemlea kwenye mazingira sahihi, hapa duniani hakuna kitu kilicholetwa na binadamu kikawa sahihi Kwa asilimia mia moja. Wenzetu Kwa nchi zilizoendelea huwaandaa watoto wao na kuwekeza kwenye akili zao kwanza halafu akikua ni rahisi kuweza kuchagua kipi cha kumfaa yy binafsi. Unapokuwa zuzu lazima likukute jambo hasa kwenye hizi main stream.
 
Twitter, YouTube, Facebook,awafollow watu wasiocheka na uongo kama mwanadada mwamba na intelligent Candace Owens (very bright, intellect and articulated black woman). Ben Shapiro, Matt Walsh, Dave Rubin, Jordan Peterson, Allie stuckey, Dan Bongino, Michael Knowles, Vivek Ramaswamy, Kari lake etc.

Hawa ni badhi,ila wapo wengine wengi. Ukiwafuata hawa hoja zao zitakufungua macho kuhusu mambo mengi sana yanayoendelea hapa duniani na katika mataifa yetu.

Watakwambia kwann Gaddafi aliuwawa, kwann Bill gates ndie mtu mshenzi kuwahi kuwapo katika kizazi hiki,chuki anayopewa Hitler alitakiwa ahamishiwe yeye.

Mwambie awafollow hao watu atakuwa anapata updates nzuri.
Candance Owens she is good at politics very bright
 
Candance Owens she is good at politics very bright
Very bright, kamenyooka balaa. Ukiongea anakusubiria ongea umalize akianza kukubutua hapo hakuna kichaka utajificha akakuacha. Yupogo vizuri sana. Huwa natamani Jadda angekuwa anajua kujenga hoja kama yule dada ila dah Jadda akianza kujibu hoja anacheza sindimba ukumbi mzima fulu kurukaruka kama masai amekunywa k vant anacheza rumba.
 
Oh please give me a break hivi kwanini unapenda sana kuhangaika na mimi kwani ni lazima unitag kwenye kila pumba zako unazoandika, kama huwezi kujibu hoja zangu basi acha kabisa kunitag kwenye posts zako nami sitakuwa nachangia mada zako, ukishashindwa hoja unachokijua ni kujilalamisha tu kuwa mimi ni mbishi na kunilazimisha niandike kile unachotaka kusikia hebu achana na mimi
 
Back
Top Bottom