Twitter, YouTube, Facebook,awafollow watu wasiocheka na uongo kama mwanadada mwamba na intelligent Candace Owens (very bright, intellect and articulated black woman). Ben Shapiro, Matt Walsh, Dave Rubin, Jordan Peterson, Allie stuckey, Dan Bongino, Michael Knowles, Vivek Ramaswamy, Kari lake etc.
Hawa ni badhi,ila wapo wengine wengi. Ukiwafuata hawa hoja zao zitakufungua macho kuhusu mambo mengi sana yanayoendelea hapa duniani na katika mataifa yetu.
Watakwambia kwann Gaddafi aliuwawa, kwann Bill gates ndie mtu mshenzi kuwahi kuwapo katika kizazi hiki,chuki anayopewa Hitler alitakiwa ahamishiwe yeye.
Mwambie awafollow hao watu atakuwa anapata updates nzuri.