Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

Kosa kubwa mwafrika alilofanya ni kudai UHURU kujiongozwa tumeproof failure.
Chek ni ajira ngapi zilipatikana kwenye mashamba makubwa ( estates) za mazao mbalimbali, viwandani,nk
Tatizo sisi tuliobahatika kusoma kidogo tunataka kazi za kukaa ofisin tu bila kujishughulisha na mbishe zingne,sahivi namtafuta mwana aniunge kwa wakala wake potelea mbali
 
Wewe unawapenda wazungu.?
 
Hapo mwenyewe unajiona smart una exposure kuuubwa???!!!😅😅😅
Kutofautiana mitizamo ni jambo la kawaida na ndio maana tuna jadili..

Exposure ni kubwa sana... uki3ndelea kunisema nakusemea kwa admin
 
Mkuu umemaliza kila kitu.

Bongo watu hadi leo hawajengi maisha yao ya uzeeni wakiamini watoto ndo retirement plan zao. Kwa mentality hii utegemezi hauwezi kuisha na watu hawawezi kuendelea.
Ni ngumu sana useme utajikwamua kwenye umasikini .. ikiwa kipato chako ndio kutumike kwenye nusu ya ukoo mzima , baba, babu, bibi, mjomba , shnagazi. Mtoto wa mjomba etc.
Njia pekee ni kila mmoja kwenye familia afanye kazi,

au awe na biashara au shughuli zinazomuingizia kipato cha uhakika kila siku hata kama ni kidogo..

kuliko kuwajengea mentality za kuwapa tu misaada unakuwa huwasaidii
 
Umenena kak.. waTZ wamejaa unafiki sana..
 
Naomba contact zako kak.. tushachoka kuzurula TZ
 
Fanya unitag kama vp namba zako mkuu ..
 
Upo kama mm .. Mawazo ya WaTZ n tofauti ..
Tushayazoea wapo wanaopingaga kila kitu
 
Tupe ramani mkuu.tushajikana life popote.kama una ramani nipe connection natamani sana kufika huko
 
Nicheki naweza kukusaidia mkuu kama kweli una nia
Nilikutumia ujumbe inbox umemicha.
Kuna dogo anahangaika visa ya state mara 3 kakosa. Ulisema unafanya hizo harakati mwaka wa 3. Nipe contact nimpe namba yako dogo.
 
hujaelewa akichoandika , anazungumzi sehem yenye fursa za nje nje , USA sasa hv ina ushindan mwing
 
Kweli lakini km per hour unakula $50 si bora uendelee tu huku unajaza kibubu,

Mfano let say ukifanya kazi kwa masaa 10 means una $500 per day unahisi ni ndogo hio?

$500×30=15000
Mwezi mmoja unaingiza $15000

Sio kidogo hio?

Uyo jamaa chenga Saa moja lkn moja af unasema bora bongo [emoji22]
 
Jamani wakuu.Mimi pia mwenye connection za nje anisaiaidie hata kuzamia .yani natamani atakaye nisaidia hata nimlipe Mara 4 kwa fadhila nitakapo pata mishe. Kama hatoniamini achukue passport yangu kabisa siku nikimlipa ndo anirudishie.ukweli nishajikana nahitaji connection wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…