Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

Kweli lakini km per hour unakula $50 si bora uendelee tu huku unajaza kibubu,

Mfano let say ukifanya kazi kwa masaa 10 means una $500 per day unahisi ni ndogo hio?

$500Γ—30=15000
Mwezi mmoja unaingiza $15000

Sio kidogo hio?
Bado kukatwa Kodi, rent, msosi, viwalo, usafiri, umeme na gas, matibabu, mahitaji mengine ya kibinadamu ili u survive uko!
Mambo siyo kirahisi rahisi kama tufikiriavyo..
 
Hivi mnaosema nchi za Ulaya kodi nyingi kwani Tanzania mnaishi bure??

Hamna uhakika wa Umeme, Maji, shule bora na mengineyo na bado mnalipia je si zaidi nchi za watu ambazo utabakia na matumizi
 
Bado kukatwa Kodi, rent, msosi, viwalo, usafiri, umeme na gas, matibabu, mahitaji mengine ya kibinadamu ili u survive uko!
Mambo siyo kirahisi rahisi kama tufikiriavyo..
Yani mtu uko Tanzania nchi mtu unalipwa laki 6 Tena huna bima ya afya , umeme shida, bodaboda muda wowote anakugonga, joto, ufisadi, hueshimiwi,


Unapata wasiwasi kwenda kwenye nchi unasave Kwa mwezi hata Dola 500 baada ya kulipa Kila kitu
 
Bado kukatwa Kodi, rent, msosi, viwalo, usafiri, umeme na gas, matibabu, mahitaji mengine ya kibinadamu ili u survive uko!
Mambo siyo kirahisi rahisi kama tufikiriavyo..
Hizi bills hata Tz zinalipwa
 


Ready, steady and GO! 🚨 WE ARE EXCITED TO ANNOUNCE THAT #APPLICATIONS FOR 13th AFRIKA KOMMT! INTAKE ARE #NOWOPEN! This year, we are looking for 41 young, visionary African professionals to join 8 leading German companies : #Bosch #SAP #ODDOBHF #BoehringerIngelheim #Merck #BioNTech #Braun and #Siemenshealthineers If you're seeking an extraordinary opportunity for a one-year career and life-transforming journey, this is your chance! Take a look at the available profiles and APPLY NOW!
 

Attachments


Dreaming of living and working in Germany? πŸ‡©πŸ‡ͺ Look no further! Join us for an informative webinar where we'll guide you through everything you need to know about entering Germany and explore the exciting opportunities presented by the new Skilled Immigration Act. πŸ“… Upcoming webinar dates: LinkedIn Don't miss out on this chance to learn and grow! Subscribe to our channel for updates, and follow us on Twitter [@makeitingermany] and visit our webpage [LinkedIn] for more details. Make your dreams of living and working in Germany a reality with www.make-it-in-germany.com - the German government’s portal for qualified professionals worldwide.
 

Have you signed up for our information event yet? Well, better hurry up! We will show you, how you can improve your German skills conveniently while studying management 100% in English. Don’t miss this chance to enhance your employability for the German labor market! HdWM and Goethe-Institut Mannheim are looking forward to meeting you! Sign up for our online information event on February 26th, 1pm CET. ➑ LinkedIn Visit the HdWM Website for more information: ➑ LinkedIn No time to sign in? Then, join the event directly with this link: LinkedIn
 
Umeshawahi kuoa/kuolewa na mzungu??
Au haya maelezo ni kwa mujibu wa chanzo kipi?
 
Huku tunapoteza mda, mtu anataka kusafiri hana hata mia unasafiri vipi
Mtu anakudm kabisa kuwa umsaidie atakulipa gharama zako akifikaπŸ™Œ

Sasa kama ameshindwa kupata msaada huo kwa watu wake wa karibu anadhani we utamuamini vipi?? Yani upambane hadi apate visa then umlipie nauli, umtafutie pa kukaa, yani Jf watu huwa hawapo serious kabisa
 
Unalipa AED 2700.. na bado ni ndogo ivi bongo utafanya kaz gan utalipwa hiyo pesa? Piga tu kwa currency ya sasa (1AED=604) ni Kama 1.6M+ ila bado ni ndogo … KAMA HUWEZ RIDHIKA NA KIDOGO SAHAU KIKUBWA πŸ™Œ
 
Habari ya saa hii, Ubalozi wa Ujerumani kwa kushirikiana na Goethe-Institut wataonesha Michuano ya kombe la Ulaya live kwenye bustani yetu ya Goethe-Institut kuanzia saa mbili usiku kwa tarehe 14.06, 19.06 na 23.06.2024. Kwa wale mnaotaka kushiriki mnashauriwa kujiandikisha mapema kupitia ukurasa wa Facebook wa Ubalozi nafasi ni chache. Atakayewahi ndiye atapata nafasi. Sambaza ujumbe kwa wadau wengine pia. Nendeni mkajishanganye hauwezi jua unaweza ukazaa urafiki wa kubadilisha maisha yako.
Jiandikishe hapa πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡



Location ya Goethe πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡
 
Mliopo dar chance hiyo.
 
Ulifikaje kaka nami nataka kujua gharama na maisha ya huko ya poje
 

Nyoote mnakaribishwa sana. Muwataarifu ndugu, jamaa na marafiki. Hakuna kiingilio ila kuna mambo mengi mazuri sana, usipange kukosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…