Kila mtu anajua nchi yetu inayoyapitia. Hadi mtoto anafaham kwa njia yake mwenyewe na kwa mtazamo wangu mimi kama mpinga kristo naona hapa tumesukumwa kwenye kona finyu ambayo hata kugeuka hatuwezi. Lakini bado maisha yanasonga tu.
Sasa nyie mnaomjua mungu nakuamini mungu kwa nini hamsimami na nchi hata kimaombi au kukemea maovu? Yaani nyie kazi makusanyo ya sadaka tu ndio mnayoyajua. Sio radioni, sio tv, sio online lipa namba kama zote ni mwendo kubadilisha magari na masuti. Kama huyo mnayemwani anaweza kwa nini msiingie ma hosipitalini mkaombea watu?
Kazi kulumbana tu wenyewe kwa wenyewe hadi wengne kumiliki vikundi wakipga vifua kwamba ole wenu!! Kwa kawaida mnapohubiri mnahubiri kwa kusema kuwa kimbilio la mwisho ni mungu lakini nyie huduma zenu mnaziuza na hakuna mnachokifanya ni mawenge tu.
Nina miaka 26 sijawahi kanyaga kanisani na maisha yangu yanasonga na sitaenda kamwe hata mnichinjie mgongoni.
Dini gani mmeshindwa kupatanisha nchi kazi kuigawanya na kuchochea maovu kila kukicha?¿!