Kama una roho ndogo tafadhali usisome huu uzi maana sitaki matusi leo

Kila mtu anajua nchi yetu inayoyapitia. Hadi mtoto anafaham kwa njia yake mwenyewe na kwa mtazamo wangu mimi kama mpinga kristo naona hapa tumesukumwa kwenye kona finyu ambayo hata kugeuka hatuwezi. Lakini bado maisha yanasonga tu.

Sasa nyie mnaomjua mungu nakuamini mungu kwa nini hamsimami na nchi hata kimaombi au kukemea maovu? Yaani nyie kazi makusanyo ya sadaka tu ndio mnayoyajua. Sio radioni, sio tv, sio online lipa namba kama zote ni mwendo kubadilisha magari na masuti. Kama huyo mnayemwani anaweza kwa nini msiingie ma hosipitalini mkaombea watu?

Kazi kulumbana tu wenyewe kwa wenyewe hadi wengne kumiliki vikundi wakipga vifua kwamba ole wenu!! Kwa kawaida mnapohubiri mnahubiri kwa kusema kuwa kimbilio la mwisho ni mungu lakini nyie huduma zenu mnaziuza na hakuna mnachokifanya ni mawenge tu.

Nina miaka 26 sijawahi kanyaga kanisani na maisha yangu yanasonga na sitaenda kamwe hata mnichinjie mgongoni.

Dini gani mmeshindwa kupatanisha nchi kazi kuigawanya na kuchochea maovu kila kukicha?¿!
Sawa,kwanza siku zote unapoandika jina la Mungu ni lazima uanze na herufo kubwa,yaani Mungu na sio mungu.Pili Mungu hapangiwi lini atoe majibu
 
na ndio maana ckuandika unavyotaka coz simwamini
 
Miaka 12 sasa siujui msikiti wala kanisa na maisha yanasonga na nimejipata maisha baada ya kifo sidhani ila ikitokea ni kweli napiga chenga naingia paradiso..
 
Kwani hujawahi kuzipitia Nyaraka za Baraza la Maaskofu ?
Juhudi za Padri Kitima hujawahi kuzisikia?
Askofu Mwamakula na
Askofu Bogonza hujawahi kuwasikia wakiieleza Serikali Hali ilivyo kila kukicha ?

Au ulitaka waunde vikundi kama vya Mwai Popo ?
Kanisa Lina namna yake ya kuishauri na kuielekeza Serikali bila kuhatarisha Amani ya Nchi:
Au unavizungumzia vikanisa binafsi vinavyo ibuka kila kukicha kama uyoga ?

Si vibaya ukawaona Wana Saikolijia wakupe Nasaha kwa kadri utakavyojieleza:
Naona una msongo wa Mawazo:
 
Chora 7, nikuoneshe hilo tundu linavyochimbwa
hadi style unazijua kumbe we mwisho nakushauri uache hiyo tabia mtoto wa kiume unatobolewa na madem wamejaa kila kona. Pga bang zako tafta dem upate raha, ww pambana na hzo style zako mwishowe utalia kuwa umerogwa kumbe mwenye ulijitakia. Mtu huwez ongea kitu au jambo amba huna uhakika nalo na wewe kufkia hadi kujua style hizo pole sana
 
Miaka 12 sasa siujui msikiti wala kanisa na maisha yanasonga na nimejipata maisha baada ya kifo sidhani ila ikitokea ni kweli napiga chenga naingia paradiso..
umetisha mkuu
 
Kwani hujawahi kuzipitia Nyaraka za Baraza la Maaskofu ?
Juhudi za Padri Kitima hujawahi kuzisikia?
Askofu Mwamakula na
Askofu Bogonza hujawahi kuwasikia wakiieleza Serikali Hali ilivyo kila kukicha ?

Au ulitaka waunde vikundi kama vya Mwai Popo ?
Kanisa Lina namna yake ya kuishauri na kuielekeza Serikali bila kuhatarisha Amani ya Nchi:
Au unavizungumzia vikanisa binafsi vinavyo ibuka kila kukicha kama uyoga ?

Si vibaya ukawaona Wana Saikolijia wakupe Nasaha kwa kadri utakavyojieleza:
Naona una msongo wa Mawazo:
upo sawa ila tumepishana sehem ndogo tu! Kunb sehemu nimesema wengne wanakemea maovu ila wengne wanawapinga wanaokemea na ndio chanzo cha migogoro ya dini naomba upunguze mawazo urudie kusoma nilichokiandika mwanzo plz
 
Kila mtu anajua nchi yetu inayoyapitia. Hadi mtoto anafaham kwa njia yake mwenyewe na kwa mtazamo wangu mimi kama mpinga kristo naona hapa tumesukumwa kwenye kona finyu ambayo hata kugeuka hatuwezi. Lakini bado maisha yanasonga tu.

Sasa nyie mnaomjua mungu nakuamini mungu kwa nini hamsimami na nchi hata kimaombi au kukemea maovu? Yaani nyie kazi makusanyo ya sadaka tu ndio mnayoyajua. Sio radioni, sio tv, sio online lipa namba kama zote ni mwendo kubadilisha magari na masuti. Kama huyo mnayemwani anaweza kwa nini msiingie ma hosipitalini mkaombea watu?

Kazi kulumbana tu wenyewe kwa wenyewe hadi wengne kumiliki vikundi wakipga vifua kwamba ole wenu!! Kwa kawaida mnapohubiri mnahubiri kwa kusema kuwa kimbilio la mwisho ni mungu lakini nyie huduma zenu mnaziuza na hakuna mnachokifanya ni mawenge tu.

Nina miaka 26 sijawahi kanyaga kanisani na maisha yangu yanasonga na sitaenda kamwe hata mnichinjie mgongoni.

Dini gani mmeshindwa kupatanisha nchi kazi kuigawanya na kuchochea maovu kila kukicha?¿!
Hujui ulitenda ULITENDALO.Wewe ni sawa na mtu kusema katiba iliyopo ni mbaya na hajui kivipi.
Inafanana na watu wasemao Gaddafi,Osama,Idd Amin walikuwa wabaya na hawajui kivipi.
Kwaufupi ata hujui shetani ni nani na Kristo unayempinga humjui.

Kingine ni kwamba ujue kuwa ata shetani hana muda nawewe, haoni sababu ya kukutumia kusambaza ajenda zake.
La kufanya wahi kanisani tubu DHAMBI zako mwamini YESU KRISTO akuondolee upofu.
 
hadi style unazijua kumbe we mwisho nakushauri uache hiyo tabia mtoto wa kiume unatobolewa na madem wamejaa kila kona. Pga bang zako tafta dem upate raha, ww pambana na hzo style zako mwishowe utalia kuwa umerogwa kumbe mwenye ulijitakia. Mtu huwez ongea kitu au jambo amba huna uhakika nalo na wewe kufkia hadi kujua style hizo pole sana
Utafirwa sasa hivi, kaa mbali
 
Hujui ulitenda ULITENDALO.Wewe ni sawa na mtu kusema katiba iliyopo ni mbaya na hajui kivipi.
Inafanana na watu wasemao Gaddafi,Osama,Idd Amin walikuwa wabaya na hawajui kivipi.
Kwaufupi ata hujui shetani ni nani na Kristo unayempinga humjui.

Kingine ni kwamba ujue kuwa ata shetani hana muda nawewe, haoni sababu ya kukutumia kusambaza ajenda zake.
La kufanya wahi kanisani tubu DHAMBI zako mwamini YESU KRISTO akuondolee upofu.
umesema vizuri sana na ndio maana siwezi amini nisichokiona kanisa na msikiti ndoi sitaenda na sijaenda for 26yrs understand bro
 
Kwaiyo Kristo unampingaje wakati humjui? Ushauri wangu wa Bure na WA mwisho onja uone ya kuwa YESU yu mwema,kimbilia church ila kwasasa nafikiri KANISA sahihi la kuabudu kwa yanayofahamika NENDA kwa Mbarikiwa Mwakipesile MBEYA au fatilia Wahubiri wanaopenda kufundisha neno kuliko wachumia tumbo wanaopenda sadaka.Kwaufupi nahisi uliwahi kuwepo ukaacha ndiyo maana inasema 20sth years not through your life.

NARUDIA, tafuta Wahubiri wasiopenda sadaka ila wanaopenda kuwafundisha watu habari njema maana nahisi uliwahi kukatishwa tamaa...karibu Tena😊
 
Back
Top Bottom