Kama una roho ndogo tafadhali usisome huu uzi maana sitaki matusi leo

Huo ni mtazamo wako, suala la kuomba hajawekwa mtu maalumu hata wewe unatakiwa kuomba kwa ajili ya nchi yako, kwani kuna mtu umemuweka na unamlipa mshahara ili akuombee? Kuomba ni kwa kila mtu akiomba kwa imani, haya wewe mungu wako unayemuomba vipi amefanya chochote?
 
Nilishajiuliza huu si ndio wakati wa waliomuingiza Mungu kwenye Wimbo wa Taifa na wanaoweka kwenye agenda za shughuli za serikali sala kujitokeza? Mnawapa wapinga Kristu kama mleta Mada kiburi Kwa ukimya wenu.
 
nafikiri hujaelewa nilichokiandika ok mimi siamini huyo wanayemwamini bro na ndio maana nimesema kama ni kweli kwa nini hawaombei nchi
 
hapa hamna cha kiburi n kusema ukweli. Unamwamin mungu na wewe ndo muuaji wa kwanza acha hizo ndugu mda mwingne tusijitoe fahamu
 
nafikiri hujaelewa nilichokiandika ok mimi siamini huyo wanayemwamini bro na ndio maana nimesema kama ni kweli kwa nini hawaombei nchi
Wewe kwa nini usiombe huko unakoamini?
 
Wewe kwa nini usiombe huko unakoamini?
mimi najiamini kama mimi sasa ntajiombaje. Tafutia wanaume sadaka uwapelekee kesho na jpili urudi kupambana na landlord my friend. Nenda kwa pastor wako cku yeyote mwambie akukopeshe hata mtaji kama hajakutangaza kanisa zima. Waislam wanajua kusaidiana ila wana ujinga wa kibaguzi na tamaa za kijinga. Roman n taasisi kubwa ila wana uroho wa kiubinafsi sana. Wasabato wanaijafanya much knows lakin wanachokijua hawajui, walokole wakata mauno kazi yao kushndana kimavazi na kubaki maskini mda wote coz walishatekwa akili hadi basi. Hamna jipya nyie. Fungu la kumi la kanisa jiulize linaenda wapi au jiulize kwanini viongoz wa kidini tena dhehebu moja kanisa moja kila kukicha ni kulumbana. Sijasema usiende huko unakoenda kuabudu ila swal langu ni kwa nin hawaiti viongozi wa kisiasa wawapatanishe au wawaombe maisha yasonge.
 
Kila mtu anajua nchi yetu inayoyapitia. Hadi mtoto anafaham kwa njia yake mwenyewe na kwa mtazamo wangu mimi kama mpinga kristo naona hapa tumesukumwa kwenye kona finyu ambayo hata kugeuka hatuwezi. Lakini bado maisha yanasonga tu.

Sasa nyie mnaomjua mungu nakuamini mungu kwa nini hamsimami na nchi hata kimaombi au kukemea maovu? Yaani nyie kazi makusanyo ya sadaka tu ndio mnayoyajua. Sio radioni, sio tv, sio online lipa namba kama zote ni mwendo kubadilisha magari na masuti. Kama huyo mnayemwani anaweza kwa nini msiingie ma hosipitalini mkaombea watu?

Kazi kulumbana tu wenyewe kwa wenyewe hadi wengne kumiliki vikundi wakipga vifua kwamba ole wenu!! Kwa kawaida mnapohubiri mnahubiri kwa kusema kuwa kimbilio la mwisho ni mungu lakini nyie huduma zenu mnaziuza na hakuna mnachokifanya ni mawenge tu.

Nina miaka 26 sijawahi kanyaga kanisani na maisha yangu yanasonga na sitaenda kamwe hata mnichinjie mgongoni.

Dini gani mmeshindwa kupatanisha nchi kazi kuigawanya na kuchochea maovu kila kukicha?¿!
Dogo angalia lakini mwishowe asikusajili mwaipopo kwani atakuja kujigamba humu!
 
kafie mbele dogo mamako shenz mkubwa wewe katiwd madole huko mtoto wangu yeye utamuitaje mwanoko kama huna jina la kuniita usinijaribu na hayo majina ya kishoga wenzio tako la kushoto wewe mtu nna mvi had kwapan unaniita dogo urumurisya
 
Kwa nini wewe usiipatanishe nchi kama unaona wanazingua
 
Kila mtu anajua nchi yetu inayoyapitia. Hadi mtoto anafaham kwa njia yake mwenyewe na kwa mtazamo wangu mimi kama mpinga kristo naona hapa tumesukumwa kwenye kona finyu ambayo hata kugeuka hatuwezi. Lakini bado maisha yanasonga tu.

Sasa nyie mnaomjua mungu nakuamini mungu kwa nini hamsimami na nchi hata kimaombi au kukemea maovu? Yaani nyie kazi makusanyo ya sadaka tu ndio mnayoyajua. Sio radioni, sio tv, sio online lipa namba kama zote ni mwendo kubadilisha magari na masuti. Kama huyo mnayemwani anaweza kwa nini msiingie ma hosipitalini mkaombea watu?

Kazi kulumbana tu wenyewe kwa wenyewe hadi wengne kumiliki vikundi wakipga vifua kwamba ole wenu!! Kwa kawaida mnapohubiri mnahubiri kwa kusema kuwa kimbilio la mwisho ni mungu lakini nyie huduma zenu mnaziuza na hakuna mnachokifanya ni mawenge tu.

Nina miaka 26 sijawahi kanyaga kanisani na maisha yangu yanasonga na sitaenda kamwe hata mnichinjie mgongoni.

Dini gani mmeshindwa kupatanisha nchi kazi kuigawanya na kuchochea maovu kila kukicha?¿!
Wataje kama wewe siyo MNAFIKI
 
kafie mbele dogo mamako shenz mkubwa wewe katiwd madole huko mtoto wangu yeye utamuitaje mwanoko kama huna jina la kuniita usinijaribu na hayo majina ya kishoga wenzio tako la kushoto wewe mtu nna mvi had kwapan unaniita dogo urumurisya
Mawazo yako ni utambulisho wako,ungekuwa na mvi usinge ongea nnyaa kama hivi!
 
Back
Top Bottom