Kama una roho ndogo tafadhali usisome huu uzi maana sitaki matusi leo

Kama una roho ndogo tafadhali usisome huu uzi maana sitaki matusi leo

Kila mtu anajua nchi yetu inayoyapitia. Hadi mtoto anafaham kwa njia yake mwenyewe na kwa mtazamo wangu mimi kama mpinga kristo naona hapa tumesukumwa kwenye kona finyu ambayo hata kugeuka hatuwezi. Lakini bado maisha yanasonga tu.

Sasa nyie mnaomjua mungu nakuamini mungu kwa nini hamsimami na nchi hata kimaombi au kukemea maovu? Yaani nyie kazi makusanyo ya sadaka tu ndio mnayoyajua. Sio radioni, sio tv, sio online lipa namba kama zote ni mwendo kubadilisha magari na masuti. Kama huyo mnayemwani anaweza kwa nini msiingie ma hosipitalini mkaombea watu?

Kazi kulumbana tu wenyewe kwa wenyewe hadi wengne kumiliki vikundi wakipga vifua kwamba ole wenu!! Kwa kawaida mnapohubiri mnahubiri kwa kusema kuwa kimbilio la mwisho ni mungu lakini nyie huduma zenu mnaziuza na hakuna mnachokifanya ni mawenge tu.

Nina miaka 26 sijawahi kanyaga kanisani na maisha yangu yanasonga na sitaenda kamwe hata mnichinjie mgongoni.

Dini gani mmeshindwa kupatanisha nchi kazi kuigawanya na kuchochea maovu kila kukicha?¿!
Wanaohubiri ya "mungu" badala ya "Mungu" ni wapigaji tu.

Kwa hiyo wewe unategemea mpigaji wa madhabahuni/mungu ampinge mpigaji mwenzake wa "serekale".
 
Wanaohubiri ya "mungu" badala ya "Mungu" ni wapigaji tu.

Kwa hiyo wewe unategemea mpigaji wa madhabahuni/mungu ampinge mpigaji mwenzake wa "serekale".
wajinga watupu na binadam wamekubali kutekwa akili ni kazi kushabikia ujinga tu.
 
Kwaiyo Kristo unampingaje wakati humjui? Ushauri wangu wa Bure na WA mwisho onja uone ya kuwa YESU yu mwema,kimbilia church ila kwasasa nafikiri KANISA sahihi la kuabudu kwa yanayofahamika NENDA kwa Mbarikiwa Mwakipesile MBEYA au fatilia Wahubiri wanaopenda kufundisha neno kuliko wachumia tumbo wanaopenda sadaka.Kwaufupi nahisi uliwahi kuwepo ukaacha ndiyo maana inasema 20sth years not through your life.

NARUDIA, tafuta Wahubiri wasiopenda sadaka ila wanaopenda kuwafundisha watu habari njema maana nahisi uliwahi kukatishwa tamaa...karibu Tena
 
acha kujizima data au nyeto imezingua
nyeto zinakusumbua wewe mkuu maan hata hakil yako haifklii vzr hapa dunian kila mtu anafanya anachokiona sahihi kwake asa iteje wewe uwapangie watu chakufanya
 
nyeto zinakusumbua wewe mkuu maan hata hakil yako haifklii vzr hapa dunian kila mtu anafanya anachokiona sahihi kwake asa iteje wewe uwapangie watu chakufanya
sasa na wewe unataka kunipangia au? Mahubiri ya ******* na sanifu kwa hupiti na kwanza kabla sijaandika mada nilitumia neno tafadhali sa sijui ni macho huna ama nini
 
nyeto zinakusumbua wewe mkuu maan hata hakil yako haifklii vzr hapa dunian kila mtu anafanya anachokiona sahihi kwake asa iteje wewe uwapangie watu chakufanya
my friend shituka yaan mtu kabisa una akili zako afu ati unaambiwa kuwa umeibiwa nyota, nyota gani, ya rangi gani, size gani hujui mwisho wa cku mnapgwa pesa ati mrudishiwe nyota shenzi type.
 
Kuna mtu natamani apate ban ila bas tu.
 
Afu pia wanadamu tumejaa uongo kazi kuamua tu udanganye ili siku isonge, kwanin? Mwingne kule anasema udongo umeuzwa 10k kikombe na sio siri kuna mtu kajibu pale hadi raha. Cha kwanza hajatoa tusi hata kama ni mfuasi wa mwamposa yaani kajibu kiakili kabisa na hoja imeeleweka. Hajatoa tusi wala cha nini. Wengne mtu kapost kitu instead ujibu kihoja unajibu kimatusi.
Kwingne mtu kauliza lissu akitoka je tutakubali maridhiano? Na kwa kuwa midomo n shombo ni mwendo wa matusi bila hoja ya msingi. Wenye roho chafu punguzen ufyatu.
 
Back
Top Bottom