Kama una roho ndogo tafadhali usisome huu uzi maana sitaki matusi leo

hayo mavitabu waliandikiwa waisrael sio mim mtanzania
Ok!
ni hivi,,, MUNGU amejaa huruma na rehema, haoni hasira upesi, ni mwingi wa fadhili.
So, ametupa uhuru wa kuchagua! Sio lazima umuamini.
 
Inaonekana unakerwa mno na hali ilivyo na mambo nchi yetu inayoyapitia. Umehitimisha kwa kuwanyoshea kidole watu wa dini.
Nanukuu: "Dini gani mmeshindwa kupatanisha nchi kazi kuigawanya na kuchochea maovu kila kukicha?¿!
Ni dini gani walitakiwa kupatanisha nchi? Ni dini gani inafanya kazi ya kuigawanya nchi na kuchochea maovu kila kukicha?
Hebu tulia kidogo na utafakari ni nani hao wanaolumbana na wanalumbana kwa misingi au kwa maslahi gani.
Wahenga walisema: "Wagombanao ndio Wapatanao". Wewe usihangaike nao- fanya mambo yako na wala malumbano yao yasiwe ni kero kwako.
 
au sio kiongozi
 
hata bora ya kausha damu maana hela yao utakunywa hata konyagi ulewe usahau kuwalipa
R.C kule kuna kunywa kidogo Mkuu...ili kikubwa wachukue wao wakanywe kingi...!!!
 
Mapepo gani yanatoka kwa kupuliza mic? Makelele kama yote 24/7. Kazi kupondana wenyewe kwa wenyewe vijembe kama waimbaji wa taarab. Hakuna siku wamekaa wakaungana wakakemea jambo wao huyu akikemea yule anapinga kuwa hili sio. Nrie wakristo na waislam huyo mnayemwabudu anawaona.
 
Dini ndiyo utapeli ulio na umri mkubwa zaidi kuliko utapeli wote Duniani. Ila maendeleo ya elimu (Teknolojia) yanauondoa taratibu utapeli huu na miaka michache ijayo utatoweka kabisa

Sasa hivi Kuna kundi kubwa sana Duniani la watu wasioamini ktk dini yoyote, wanaitwa Atheists.
Kwa ujumla ninaweza kusema kuwa kadiri watu wanavyoelimika sana ndiyo wanavyozipa mgongo dini na kinyume chake.
 
Nilishawah kusema kwamb Africa dini imetengeneza wajinga weng na maskini weng na watu bado hawashtuki
 
Hasira hasara mchimba kaburi huingia na nduguze
my mambo ya wahenga na ujinga wao tulishahama. Mda wengne walikuwa wanatafuta maisha wao wakawa wamekalia kutafuta misemo ya mara ati matacore kulia mbwata. Yaani wao wengne wakatoka wao wakabaki na misemo. Mimi hayo hata huyo shetani mwenyewe HANIWEZI
 
Ukikuwa shetani atakuweza hapo badoo
 
Upo sahihi dini yoyote ipo kwaajili ya kusaidia watu wake kukua kiroho siyo kuwafanya watu watumwa kwamba usipotoa sadaka hubarikiwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…