stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,226
- 5,147
HahahahaBinti :nimepata mimba shangazi nitaanzaje kumwambia baba?
Shangazi :yaani umeweza kupanua mapaja ushindwe kupanua mdomo?
We[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi inayokatazwa ni bangi yenyewe au yale majani yake?
Wavuta bangi watatu walivunja duka la dhahabu ili waibe.
Mmoja alichukua Dhahabu mwengine akachukua pesa wakatoroka yule wa mwisho akabaki ndani.
Mwenye duka akaja na polisi kuingia ndani wakamkuta jamaa amekaa mguu juu ya mguu
Akaulizwa:mbona hukutoroka kama wenzako?
Akajibu:mmoja amechukua dhahabu mwengine akachukua pesa nami nmechukua duka.
Ohooooooihh...!!!WIKI MBILI BAADA YA HARUSI
Mama alimuuliza "VP maisha ya ndoa?" mtoto akajibu, "Duh kama British Airways". Mama akatoka mpk airport kuangalia ratiba akakuta inatua kwa wiki mara 7,na ktk kila siku 1 inaenda trip 3,na ktk kila trip 1 inasimama vituo 7 na kila ikitua inafikia nyuma ya uwanja. Mama akazimia.
Je, mama alizimia kwann?
Aki nimeshindwa kujizuia kucheka kwa sauti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna watu wanakula kwa tabu kama wanawake walopaka lipstick[emoji38] [emoji38] [emoji38] wakitaka kula wanatoa meno nje kama ngiri[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums