Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

126486048c651ccee7aeda929114ec65.jpg
 
Rais wa Tanzania ni mmoja tu.

Hawa wengine

Rais wa TLS Rumande
Rais wa simba Rumande
Rais wa TFF Rumande

Mwingine akijiita *Rais* asubiri moto wake.

Nchi haiwezi kuwa na utitiri wa marais ikakubalika.

[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wavuta bangi watatu walivunja duka la dhahabu ili waibe.
Mmoja alichukua Dhahabu mwengine akachukua pesa wakatoroka yule wa mwisho akabaki ndani.
Mwenye duka akaja na polisi kuingia ndani wakamkuta jamaa amekaa mguu juu ya mguu
Akaulizwa:mbona hukutoroka kama wenzako?
Akajibu:mmoja amechukua dhahabu mwengine akachukua pesa nami nmechukua duka.
 
Hii kali

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
*Hii Dunia Ina Mambo*
Wakati wanajeshi wanalinda mipaka mipaka hiyohiyo ndio inakuja kudokoa nyama jikoni badala ya kukamata panya na panya haohao ndio wanatukaba njiani eti wanajiita panya road[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
4db95d75fbf2c2234b8a8ec01cf923db.jpg

Haya vibamia tukimbie[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
WIKI MBILI BAADA YA HARUSI
Mama alimuuliza "VP maisha ya ndoa?" mtoto akajibu, "Duh kama British Airways". Mama akatoka mpk airport kuangalia ratiba akakuta inatua kwa wiki mara 7,na ktk kila siku 1 inaenda trip 3,na ktk kila trip 1 inasimama vituo 7 na kila ikitua inafikia nyuma ya uwanja. Mama akazimia.
Je, mama alizimia kwann?
Ohooooooihh...!!!
Lazima mama azime, nyuma ya uwanja 1*3*7
 
Hakuna watu wanakula kwa tabu kama wanawake walopaka lipstick[emoji38] [emoji38] [emoji38] wakitaka kula wanatoa meno nje kama ngiri[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Aki nimeshindwa kujizuia kucheka kwa sauti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom