stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,226
- 5,147
Hebu jiulize, umeshikwa na tumbo la kuhara mara chafya paaaap!
Ndugu yangu hapo ndio utajua wahenga walimaanisha nini waliposema mshika mawili moja humponyoka...!![emoji48][emoji38][emoji38]
Khadija kopa ni mzaramo mama yke ndio mtu znz baba yke ni mwenyeji wa kisarawe alienda znz kufanya kazi ndio akapatikana bi Khadija omary kopa...Hivi ni nani aliyempa Khadija Kopa hadhi ya malikia wa mipasho Itakuwa hakuwahi kukutana na Wazaramo, Wazaramo wana mipasho [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Khadija Kopa anasubiri miaka 100[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeamua kunitangaza huku ndugu yangu,mi nilishasahau kma nilidundwaTulikwenda bush kwa bibi enzi hizo maji ilikuwa kuoga kisimani sasa jioni tulikuwa unakwenda kuoga kusoma kilo chini bondeni na kijiji kiko juu.
Tumemaliza kuoga tulikuwa na mshikaji anaitwa John yeye ni mtoto wa uncle anaish pale kijijini. Kumbe kuna wabaya wake walikuwa wanamlia timing wamdunde wakatukuta mlimani walipoanza khmtia ambush John wote tulikimbia kupandisha mlima. Tulijua hatuwezi kwenda home bila John ilibidi tusubiri John apigwe kwanza.
Tulipoona dakika kumi zimepita tuliita Joohn pigwa haraka twende.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] duuh huyu baba kabila gani Sonia lolkuishi nyumba moja na wazazi huwa ni kazi kweli.....juzi nipo sittingroom na bro tunacheki mpira na faza alikua bedroom,kidogo tuh braza akajamba kwa sauti....
sauti iliyotoka bedroom "ehhhh jamba kabisa ukitaka kunya na ujiharishie mpuuzi wewe, nguvu ya kujamba unayo ila ya kuhama kuanza maisha yako Huna!
#Dah_home_nomasana
Ntahama tu lakini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hebu jiulize, umeshikwa na tumbo la kuhara mara chafya paaaap!
Ndugu yangu hapo ndio utajua wahenga walimaanisha nini waliposema mshika mawili moja humponyoka...!![emoji48][emoji38][emoji38]
Ilitokea kama hii kwenye shule ya secondary o level & a level boarding boys tupu, librarian binti umri wa kutamanisha single lady, ukiwa unatoka library anataka akusachi mpaka mifuko ya kaptula,! Wanafunzi waka toboa mifuko halafu wakaelekezea duduMambo ya camp tulikuwa tanajiandaa na mashindano ya umisseta ngazi ya taifa sasa pale camp palikuwa na mwalimu wa netball mfupi hivi kajaliwa nyama ila tatizo alikuwa mnoko sana yaani saa kumi alfajiri yeye tayari anakuja kutuamsha waungwana tukatafuna jambo hilo kwa kina kisha azimio likapita. Asubuhi anakuja kuamsha faster mtu akamfungulia mlango akiwa kavaa safi tu nae anapita katikati ya vitanda wale watu sita wa kila upande walikuwa wamejifunika shuka kuanzia kitovuni kupanda juu kiubaridi cha subhy MIPINI imesimama ikabidi afunge break na huo ndio ulikuwa mwisho wa kuja kutuamsha alikuwa anasikika akilalamika tu lile bweni washenzi sana.