Mke wangu alisajili lain mpya jina la Jenifer Godson bila mimi kujua.
Jana usiku nimerudi home akaniomba elfu 10 akasuke.
Nikajibu cha ten sina, zuia buku 2.
Wakati tumelala, msg ktk simu yangu trii:
"HI MY LOVE".
Kidume nikatoka nje naenda toilet, nikaijibu:
"we nani"
MSG: ni mim Jane Msambwanda".
Kusikia Sambwanda, mshipa wa samsing ukanicheza.
MIMI: Jane Msambwanda wa wap tena?"
MSG: Bwana baby nawe,si pale unapokulaga kila siku?"
MIM: "ooh,kumbe unaitwaga Jenifer, namba yangu umeipata wapi?
MSG: "nimepewa na rafiki yako dj tipwil, nakupenda sana hendsam sema huwa naogopaga kukwambia, ila mi sijiwez juu yako, yaani kila ukija kula, nataman usiondoke, nikwambie yaliyomo moyoni mwangu, nanitesa mwenzio"
MIMI: Jamani pole mpenzi, hata mm nilikuwa nakupenda, yaan kila nikiona hilo tako, nahis mzunguko wa damu kuchange, I luv u 2 honey. MSG: Basi mpenzi ,nikuombe ki2?"
MIMI: aah,sema tu
MSG: naomba elfu 50
MIM: nakutumia sasa ivi"
(NIKATUMA)
MSG: Waaoo asante mume wangu, haya rud ndani tulale, mi mkeo MAMA KIDUKU hapa
[emoji134]♂[emoji134]♂[emoji134]♂
hapo ndo utaukumbuka wimbo wa dunia lukumbalukumba[emoji125][emoji125][emoji125]