Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

kichaa mmoja alijirusha kutoka ghorofa ya tatu mpaka chini,watu wakamuuliza vipii...kichaa akawajibu"mi sijui,ndo kwanza nimefika".

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwalimu Nyerere alienda Mirembe kutembelea wagonjwa wa akili.Alipofika Mirembe akaanza kuwasalimia wale wagonjwa wenye nafuu.
Mwalimu:Unaitwa nani? Vipi hali yako
Mgonjwa😀uh mie naitwa Bunzu hali yangu ni nzuri sanaaaaaa tu.Ila nakuonea huruma wewe maana mimi nilivyo letwa hapa nililetwa na polisi mmoja tu sasa wewe umeletwa na mapolisi wote hawa sijui utatoka lini.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Dereva katisha sana
 
Ama kweli Sio Bang, Bali ni Makinikia
 
[HASHTAG]#Uanaume[/HASHTAG] ni nn?
*uanaume ni ile siku unaenda kutambulishwa na mchumba wako kwao alaf muda wa kuondoka unamuita baba mkwe chemba unamuomba ela ya nauli*
Mamadogo we kiboko japo sina stress nimekuja kuwatembelea tu huku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
*Mshahara wako sh. 300,000 unamiliki handbag[emoji162] ya sh. 120,000 viatu[emoji151] vya 140,000 iPhone 5 Toyota Nadia [emoji592][emoji592] umepanga nyumba nzima[emoji536] sh 300,000 kwa mwezi alafu unaenda kanisani [emoji547] kumuomba mungu wakati wewe mwenyewe unatenda miujiza [emoji23][emoji23][emoji23]*

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
 
Hii kiboko aise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji837]Bill Gates aliandaa usahili mkubwa kwaajili ya kumpata meneja mpya
[emoji837]Wakatokea watahiniwa 5000 na wakawekwa kwenye ukumbi mmoja
[emoji837]Mmoja wa watahiniwa hao ni Onyango, Mkenya anayeishi Marekani
[emoji837]Bill Gates akawashukuru watu wote waliojitokeza, na akasema "Kama kuna mtu hajui programu ya Java tafadhali aondoke"
[emoji837]Watu 2000 wakaondoka
[emoji837]Onyango akawaza "Ni kweli sijui Java lakini nikibakia nitakuwa nimepoteza nini, Ngoja nitajaribu,"
[emoji837]Bill Gates akasema kama kuna mtu hana uzoefu wa kuongoza watu zaidi ya 100 tafadhali ondoka
[emoji837]Watu 2000 wakaondoka
[emoji837]Onyango akawaza "ni kweli sijawahi kuwa kiongozi hata wa mtu mmoja, zaidi ya kujiongoza mwenye lakini nikiendelea kubakia nitakosa nini, je nini kitanitokea
Akabakia tena
[emoji837]Bill Gates akasema" Kama unajijua elimu yako hata Diploma ya utawala huna tafadhali ondoka"

[emoji837]Watu 500 wakaondoka
[emoji837]Onyango akawaza tena "Elimu yangu ni darasa la saba, lakini nikiendelea kubakia nitakosa nini" Akaendelea kubakia ndani ya chumba

[emoji837]Mwishowe Bill Gates akasema "kama hujui lugha ya Serbia kwa ufasaha tafadhali ondoka"

[emoji837]watu 498 wakaondoka
Onyango akiwaza "Hiyo lugha hata kuisikia sijawahi hata Neno moja sijui, la nikibakia nitakosa nini"
akaamua kubakia na akajikuta wamebakia watu wawili tu
[emoji837]Bill Gates akawasogelea na kuwaambia "Hatimae nimewapata watu niliokuwa nawatafuta watu pekee wenye uzoefu na elimu ninayotaka na vile vile Mnajua kuongeza lugha ya Serbia, Tafadhali sitaki kuwasikia mkiongea lugha hiyo maana naichukia

[emoji837]Taratibu kwa uoga Onyango akamnong'oneza Mwezie" Heshima kwako unazo sifa zote hizi hongera kwa kufaulu "

[emoji837]Mwenzake akajibu" sina sifa hata moja nimekomaa tu"

[emoji117]Kumbuka Mungu huwaita watu wasio na sifa kisha huwapa sifa hizo
Tafadhali usikate tamaa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Lesson learnt-do not quit
 
Labda nchi nyingine ila siyo hiii.

SIJUI KESHO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…