stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,226
- 5,147
HahahahahahahahahahahahahahBangi si mchezo, Angalia kilichowakuta hawa
Jamaa kaikoleza si ikamtuma avue nguo!
Akavua nguo zote akaenda kwenye kioo, kujitazama akaona kama kavaa suti!
then akaenda kama alivyo zaliwa kwa masela wenzake akawauliza vp suti imenikaa? Mvuta bangi mwenzie akamwambia "imekutoa kinyama ila tai umeifunga chini sana".
Sawa mkuu wa kibiti naisubiri yako yenye uhalisiaUkitunga story iwe na uhalisia kidogo walau 0.003
Wanawake bhana eti demu wangu anamiliki iPhone 7 halafu ananipigia simu ananiambia 'baby njaa inauma' Kwa kuwa sipendagi ujinga nimemwambia 'kula hilo apple nyuma ya simu yako' Mara nkasikia mxiuuuuu nadhanI alikuwa anaita paka wake [emoji3] [emoji3]
Utadhani nilikuwepo nimecheka na imenikumbusha sehemuThese girls will kill me,
Sasa kengine kanaenda kwa daktari kutibiwa malaria halafu kanapimwa temp..
*Doctor: You're so hot!*
*Girl: Aaww, thanks* [emoji7]
*Doctor: Nakwambia temperature yako iko juu kama ya mbuzi na wewe unafikiria ujinga tu hapa* [emoji34]
Girl: [emoji17][emoji37][emoji19]
Nyooookoooo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama ulivyosikia Mpenzi Mtazamaji...Manji ana Chuma kwenye Moyo, Habinder Singh ana Puto tumboni, hivyo ukija kusikia Rugemalila ana Kokoto kwenye Ugoko na Malinzi ana filimbi kwenye ini usishangae.
Saa mbaya hizi usipokuwa makini unaweza kumeza hata "Chemli"
..[emoji41]
Kuna vijimisemo vifupi vimeibuka huku kwenye mitandao kwa sasa, yaani ni full burudani!
Ukivisomo mwisho lazima ubaki mdomo wazi au ucheke, baadhi ya niliyokutana nayo naweka hapa, pia karibuni kwa wenye zaidi tuburudike pamoja!
Leo kidogo nipigwe na MWANAMKE baada ya LIFTI kusimama...wakati tupo kwenye lift Nilikua nayaangalia MAZIWA yake akasema "Bonyeza Moja"[emoji196][emoji196] mi si nikalibonyeza?
Yaani had sasa
bado najiuliza nilipokosea.
Hivi Utajisikieje Utakaposikia Rafiki Yako wa Karibu Hajaja Kwenye Mazishi Yako ???!
Nadhani Mimi Sitamwongelesha Tena !!!! [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
I think nakaribia kupona
Nimenunua chips ili nile kwa bahat mbaya mtoto wa mama mwingine amekaa next to me akaanza kuzililia.
Imebidi nivae earphones. [emoji19]Napenda watoto, ila utoto ndio sipendi..
Jana nimepita njia ya mkato makaburini warembo wawili wakawa wananikimbilia wanatetemeka Eti tunaogopa kupita peke yetu na mm Nikawajibu hata mm nilivyokuwa hai nilikuwa naogopa sana . Wakazimia
Sipendagi kufatwa fatwa mm[emoji57][emoji57][emoji57]