Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Katika maisha yako, kua mvumilivu kama FUSO,
Jipe moyo kama BAJAJI,
Usiwe na tamaa kama DALADALA,
Uwe jasiri kama SCANIA,
Uwe mstaarabu kama COSTER,
Maisha ni taratibu Kama TREKTA hivyo usiwe na haraka kama BODABODA,
Waheshimu wenzako kama BAISKELI, kuwa mpole kama mtembea kwa MIGUU.
 
Bangi si mchezo, Angalia kilichowakuta hawa

Jamaa kaikoleza si ikamtuma avue nguo!

Akavua nguo zote akaenda kwenye kioo, kujitazama akaona kama kavaa suti!

then akaenda kama alivyo zaliwa kwa masela wenzake akawauliza vp suti imenikaa? Mvuta bangi mwenzie akamwambia "imekutoa kinyama ila tai umeifunga chini sana".
 
Bangi si mchezo, Angalia kilichowakuta hawa

Jamaa kaikoleza si ikamtuma avue nguo!

Akavua nguo zote akaenda kwenye kioo, kujitazama akaona kama kavaa suti!

then akaenda kama alivyo zaliwa kwa masela wenzake akawauliza vp suti imenikaa? Mvuta bangi mwenzie akamwambia "imekutoa kinyama ila tai umeifunga chini sana".
Hahahahahahahahahahahahahah
 
Jamaa karudi home akiwa mnyonge.
Wife :vipi mume wangu?
Husband :nina matatizo
Wife :mume wangu usiseme una matatizo sema tuna matatizo
Husband akaona wife wake amewiva katika suala zima la ushirikiano ikabidi amwambie
Husband :tumempa bint mimba
Wife :wewe mshenzi hilo ni tatizo lako na jela mwaka huu utakaa nawe upewe mimba.
 
Wanawake bhana eti demu wangu anamiliki iPhone 7 halafu ananipigia simu ananiambia 'baby njaa inauma' Kwa kuwa sipendagi ujinga nimemwambia 'kula hilo apple nyuma ya simu yako' Mara nkasikia mxiuuuuu nadhanI alikuwa anaita paka wake [emoji3] [emoji3]

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]
 
*Chizi kakaa ukingoni mwa bahari analia kwa masikitiko na huku kakamata kijiko cha chai. Mwezake akamuuliza mbona unalia mwenzangu. Chizi akajibu nimetia vijiko vitatu vya sukari baharini, kila nikionja bado ina chumvi. Mwenzake akacheka sanaaaaaa akamwambia. Hujakoroga!!!!*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
These girls will kill me,
Sasa kengine kanaenda kwa daktari kutibiwa malaria halafu kanapimwa temp..
*Doctor: You're so hot!*
*Girl: Aaww, thanks* [emoji7]
*Doctor: Nakwambia temperature yako iko juu kama ya mbuzi na wewe unafikiria ujinga tu hapa* [emoji34]
Girl: [emoji17][emoji37][emoji19]
 
These girls will kill me,
Sasa kengine kanaenda kwa daktari kutibiwa malaria halafu kanapimwa temp..
*Doctor: You're so hot!*
*Girl: Aaww, thanks* [emoji7]
*Doctor: Nakwambia temperature yako iko juu kama ya mbuzi na wewe unafikiria ujinga tu hapa* [emoji34]
Girl: [emoji17][emoji37][emoji19]
Utadhani nilikuwepo nimecheka na imenikumbusha sehemu
 
Kama ulivyosikia Mpenzi Mtazamaji...Manji ana Chuma kwenye Moyo, Habinder Singh ana Puto tumboni, hivyo ukija kusikia Rugemalila ana Kokoto kwenye Ugoko na Malinzi ana filimbi kwenye ini usishangae.

Saa mbaya hizi usipokuwa makini unaweza kumeza hata "Chemli"

..[emoji41]
Nyooookoooo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna vijimisemo vifupi vimeibuka huku kwenye mitandao kwa sasa, yaani ni full burudani!
Ukivisomo mwisho lazima ubaki mdomo wazi au ucheke, baadhi ya niliyokutana nayo naweka hapa, pia karibuni kwa wenye zaidi tuburudike pamoja!

Leo kidogo nipigwe na MWANAMKE baada ya LIFTI kusimama...wakati tupo kwenye lift Nilikua nayaangalia MAZIWA yake akasema "Bonyeza Moja"[emoji196][emoji196] mi si nikalibonyeza?
Yaani had sasa
bado najiuliza nilipokosea.

Hivi Utajisikieje Utakaposikia Rafiki Yako wa Karibu Hajaja Kwenye Mazishi Yako ???!
Nadhani Mimi Sitamwongelesha Tena !!!! [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
I think nakaribia kupona

Nimenunua chips ili nile kwa bahat mbaya mtoto wa mama mwingine amekaa next to me akaanza kuzililia.
Imebidi nivae earphones. [emoji19]Napenda watoto, ila utoto ndio sipendi..

Jana nimepita njia ya mkato makaburini warembo wawili wakawa wananikimbilia wanatetemeka Eti tunaogopa kupita peke yetu na mm Nikawajibu hata mm nilivyokuwa hai nilikuwa naogopa sana . Wakazimia
Sipendagi kufatwa fatwa mm[emoji57][emoji57][emoji57]
 
250f6bffeecc7a838bee73049a65cb4a.jpg

Kwema ndugu zangu?m napita kukujulieni hali tu
 
Back
Top Bottom