Babu wa loliondo na Dr Shika wanawapa matumaini msikate tamaa.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Jua la bandari hili huna nauli unaua winger (unatembea )mara unahisi kama umenusa harufu ya mishikaki kumbe korodani zako zimesagwa mpaka zinakaribia kuungua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*Wiki nne zimesalia kabla ya kufika X-mass utaona wanawake wote wana adabu*
Hata mumewe akienda chooni akitoka utasikia "Honey safari yako ilikuajee?''[emoji5]
Mna visa nyinyi [emoji23][emoji23]♀[emoji125]♀[emoji125]♀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilienda kwa mganga wa jadi, baada ya matibabu akawa anadai malipo c ndo nikamuonyesha bima ya afya... Kilichotokea hata mi mwenyewe ckumbuki ila nimejikuta niko Lugalo juu ya bati cjui hata ni nyumba gani ila naona kama wanajeshi kwa chini[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Mbinu nzuri sana hii....
Kwahiyo waweke zipu chini?[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Umetisha!!Kinachonishangaza kwa hawa wabunifu wa nguo za kike, kwenye jeans wanawekaga zipu mbele ya nini sasa?
HahahahaUkimwita Gen Chiwinga tu atanywea tu.Siku hizi kawa simba wa kuchora.We muweke tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimeielewaPOWERFULL QUOTE OF THE DAY
"Wakati mwingine hautapewa nafasi lazima uitafute mwenyewe"
- Ziane Ndolla -
Ziane Ndolla ni nani? Huyu ni kondakta wa mabasi ya UDA. Sasa rudia na uisome upya......
HahahahaaDogo wa miaka 8 alishtakiwa kwa kubaka.Mahakamani,wakili wake ambaye alikuwa ni wa kike,alikatoa kauume ka dogo nje kama ushahidi na kukashikilia,akasema"ndugu hakimu angalia,anaweza kubaka kweli?yaani haka tuu?"...dogo akamnong'oneza wakili wake,"usikatingishe,tutashindwa kesi!!
BatiniIvi ukitaka kuona WIVU unasimama upande gani
WakoIvi ukitaka kuona WIVU unasimama upande gani
Kuna mbwa wa jiran mvivu sana kiasi kwamba akisikia mbwa wetu anabweka anasema "me too"Wako
Ivi ukitaka kuona WIVU unasimama upande gani
*Mwezi wa 11 mwaka uliopita, kuna mtu alinitumia Tshs 50,000/= akapandishwa cheo kazini ,Rafiki yangu wa zamani akanitumia Tshs 75,000/= akashinda bahati nasibu,Mwingine akanitumia Tshs 100,000/= muda si mrefu akaolewa. Sikwambii unitumie hela ila fikiria baraka walizopata walionitumia hela baada ya hapo fanya maamuzi SAHIHI...*[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndoa ilio acha watu mido mo wazii !!!!/Wako
Hatar saaanMwalim aliingia darasan akawataka kila mwanafunz ataje kaz ya baba zao na mama zao.....
*JUMA* baba yang dereva mama mwalimu...…..
*VICTOR* baba yang mfanyabiashara mama mkulima......
*KISHOKA* mama yang *MALAYA* baba simjui.......
*Mwalimu* "pumbavu" nikukute ofcn umwambie mkuu ulichokisema apa..
Kishoka akaondoka kuelekea kwa mwl mkuu....baada ya dakika chache kishoka anakuja anatabasamu huku anakula biskut...
*Mwalimu:* mwl mkuu kakupa adhabu Gan..!!
*Kishoka:* kaniambia nimpe namba ya MAMA.........
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]