Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

*Wiki nne zimesalia kabla ya kufika X-mass utaona wanawake wote wana adabu*
Hata mumewe akienda chooni akitoka utasikia "Honey safari yako ilikuajee?''[emoji5]

Mna visa nyinyi [emoji23][emoji23]‍♀[emoji125]‍♀[emoji125]‍♀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
fb24f76e416b7ca91801aa7b84400064.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nilienda kwa mganga wa jadi, baada ya matibabu akawa anadai malipo c ndo nikamuonyesha bima ya afya... Kilichotokea hata mi mwenyewe ckumbuki ila nimejikuta niko Lugalo juu ya bati cjui hata ni nyumba gani ila naona kama wanajeshi kwa chini[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dogo wa miaka 8 alishtakiwa kwa kubaka.Mahakamani,wakili wake ambaye alikuwa ni wa kike,alikatoa kauume ka dogo nje kama ushahidi na kukashikilia,akasema"ndugu hakimu angalia,anaweza kubaka kweli?yaani haka tuu?"...dogo akamnong'oneza wakili wake,"usikatingishe,tutashindwa kesi!!
Hahahahaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
*Mwezi wa 11 mwaka uliopita, kuna mtu alinitumia Tshs 50,000/= akapandishwa cheo kazini ,Rafiki yangu wa zamani akanitumia Tshs 75,000/= akashinda bahati nasibu,Mwingine akanitumia Tshs 100,000/= muda si mrefu akaolewa. Sikwambii unitumie hela ila fikiria baraka walizopata walionitumia hela baada ya hapo fanya maamuzi SAHIHI...*
[emoji23] [emoji23]
 
Ndoa ilio acha watu mido mo wazii !!!!/
Bwana harus
Alipo ulizwa unakitu gani kama ishara yaupendo wenu.?
Akafungua zipu akaitoa nakuanza kuingiza kwa mkewe polepole.
Biarus nae akaing'ang'aniza.hadi ikaingia yote bac watu wote pale wakashangilia kwanguvu nakupiga makofi. Kwani wao hawakuamini kwajinsi ambavyo ilikua inaingia ile
PETE YA NDOA .
Sija penda ulicho fikiria.
[emoji23] [emoji23]
 
Mwalim aliingia darasan akawataka kila mwanafunz ataje kaz ya baba zao na mama zao.....

*JUMA* baba yang dereva mama mwalimu...…..

*VICTOR* baba yang mfanyabiashara mama mkulima......

*KISHOKA* mama yang *MALAYA* baba simjui.......

*Mwalimu* "pumbavu" nikukute ofcn umwambie mkuu ulichokisema apa..

Kishoka akaondoka kuelekea kwa mwl mkuu....baada ya dakika chache kishoka anakuja anatabasamu huku anakula biskut...

*Mwalimu:* mwl mkuu kakupa adhabu Gan..!!
*Kishoka:* kaniambia nimpe namba ya MAMA.........
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatar saaan
 
Back
Top Bottom