Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Hahaha
 
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23] hii cycle aisee
 
*Mlevi kapelekwa mahakamani Hakimu akamwambia wewe sasa hii mara ya pili unakuja hapa*

*Mlevi*: _mbona we kila siku upo hapa na hakuna alokwambia kitu_

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mshahara utakaotoka wiki ijayo ndio huo huo tutautumia Christmas, Mwakampya na ndio huo huo tutautumia kununua nguo za shule za watoto madaftari kulipa kodi ya nyumba... tunakumbushana tuu maana January is a branch of science which deals with three months in it.! [emoji23]
 
```Kuna Methali zimekwisha muda wake wa matumizi.
Mfano:```
1. *Mwenzako akinyolewa tia maji.*
-Siku hizi tunanyoa kwa mashine. Ukitia maji zinateleza hazinyoleki.

2. *Barua ni nusu ya kuonana.*
-Siku hizi watu wanaonana kwa watsap. Mkingojea barua mtakufa bila kuonana.

3. *Akili ni nywele.*
-Vipi kuhusu Mawigi?

4. *Mchagua jembe si mkulima.*
-siku hizi tunatumia zaidi matrekta ya kukodi.

5. *Alalae usimuamshe akiamka utalala wewe.*
-siku hizi unaweka alam mwenyewe unaamka hausubiri kuamshwa na mtu.

6. *Polepole ndio mwendo.*
-siku hizi kuna mwendo kasi ukienda polepole utabaki kwenye foleni kutwa

*Hatupendi mambo ya kizamani...*
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Namba 3 na 6 ziko poa sana
 

[emoji23][emoji23][emoji1][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…