mkuu unaua mtu huku!! nimecheka mpaka machozi aisee!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*Umebanwa na tumbo la kuhara, mara paap! Chafya hii hapa*
My friend hapo ndiyo utawaelewa wahenga waliosema "mshika mbili moja humponyoka!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah!Unakuta MTU mwaka Mzima
Umehudhuria
birthday parties 20 , misiba 30 ,
Mikutano kanisani 40 , Ndoa 80 na bado uko Single Kwani wewe ni turubai jaman??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Kwenye hospitali ya vichaa,
mwandishi wa habari akamwuliza daktari:
"Wewe huwa unatambuaje mgonjwa huyu ni wa kulazwa, na huyu si wa kulazwa "?
Daktari akajibu:
"Kuna njia nyingi ... kwa mfano naweza kujaza maji kwenye sinki la bafuni, nikamwekea hapo kijiko cha mezani,
kikombe na ndoo;
Kisha nikamwagiza amwage maji yote
yaliyo kwenye sinki.
Mwandishi: "Bila shaka aliye timamu
atatumia ndoo .. . Maana ndoo ndiyo
kubwa! Si ndivyo? "
Daktari: "Hapana! Mtu mwenye akili timamu atafungulia koki ya chini ya sinki!
Tafadhali na wewe nenda kalale kitanda Namba-39 .. . Nitakuja kuendelea
kukuchunguza zaidi! "
.
Hahhahaaa! Hivi kweli na wewe pia uliwaza ndoo?
Basi, kitanda chako ni Namba-40 !!
#Natania_tu
#Kwanza_me_naongea_na_simu
Habari yako??[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Nzuri my, ukopoa wewe? Ndio tumesusana? Mi usione kimya, niliua battery!Habari yako??
Hahaha ...niko poaNzuri my, ukopoa wewe? Ndio tumesusana? Mi usione kimya, niliua battery!
Nitakutafuta Kassim MajaliwaHahaha ...niko poa