Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

*Umebanwa na tumbo la kuhara, mara paap! Chafya hii hapa*

My friend hapo ndiyo utawaelewa wahenga waliosema "mshika mbili moja humponyoka!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mkuu unaua mtu huku!! nimecheka mpaka machozi aisee!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwenye hospitali ya vichaa,
mwandishi wa habari akamwuliza daktari:

"Wewe huwa unatambuaje mgonjwa huyu ni wa kulazwa, na huyu si wa kulazwa "?

Daktari akajibu:
"Kuna njia nyingi ... kwa mfano naweza kujaza maji kwenye sinki la bafuni, nikamwekea hapo kijiko cha mezani,
kikombe na ndoo;
Kisha nikamwagiza amwage maji yote
yaliyo kwenye sinki.

Mwandishi: "Bila shaka aliye timamu
atatumia ndoo .. . Maana ndoo ndiyo
kubwa! Si ndivyo? "

Daktari: "Hapana! Mtu mwenye akili timamu atafungulia koki ya chini ya sinki!
Tafadhali na wewe nenda kalale kitanda Namba-39 .. . Nitakuja kuendelea
kukuchunguza zaidi! "
.
Hahhahaaa! Hivi kweli na wewe pia uliwaza ndoo?
Basi, kitanda chako ni Namba-40 !!
#Natania_tu
#Kwanza_me_naongea_na_simu
 
Leo nilikuwa na stress basi unaambiwa nikachukua Bomgo movie nikaanza kuangalia Part 2, then nikaangalia Part1[emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mpaka sahivi bado sijaielewa hiyo movie, kumbe kabla ya kuangalia nilivuta bangi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Kwenye hospitali ya vichaa,
mwandishi wa habari akamwuliza daktari:

"Wewe huwa unatambuaje mgonjwa huyu ni wa kulazwa, na huyu si wa kulazwa "?

Daktari akajibu:
"Kuna njia nyingi ... kwa mfano naweza kujaza maji kwenye sinki la bafuni, nikamwekea hapo kijiko cha mezani,
kikombe na ndoo;
Kisha nikamwagiza amwage maji yote
yaliyo kwenye sinki.

Mwandishi: "Bila shaka aliye timamu
atatumia ndoo .. . Maana ndoo ndiyo
kubwa! Si ndivyo? "

Daktari: "Hapana! Mtu mwenye akili timamu atafungulia koki ya chini ya sinki!
Tafadhali na wewe nenda kalale kitanda Namba-39 .. . Nitakuja kuendelea
kukuchunguza zaidi! "
.
Hahhahaaa! Hivi kweli na wewe pia uliwaza ndoo?
Basi, kitanda chako ni Namba-40 !!
#Natania_tu
#Kwanza_me_naongea_na_simu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
8a730c0f741ec705c69d05cac6ab7ee3.jpg
 
WanaJf , nige penda kuwa kuwakaribisha kwenye sikukuu ya christmass kila kitu kitakuwepo isipokuwa tu una takiwa

Kuwahi maana
Ndo utakuwa MPISHI WETU
 
Back
Top Bottom