Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

siku ya harusi ya ex wangu siwezi kuacha kuhudhuria aisee maana ntacheza hadi karibu ya keki yao ntaipiga teke makusudi halafu nawaambia bahati mbaya [emoji23][emoji23] sipendagi kusalitiwa mimi
Umenichekesha sana!!!!!!!
 
WanaJf , nige penda kuwa kuwakaribisha kwenye sikukuu ya christmass kila kitu kitakuwepo isipokuwa tu una takiwa

Kuwahi maana
Ndo utakuwa MPISHI WETU
[emoji39] [emoji39] Vp nije? Mi mpishi mzuri sana jikoni hadi kwingine[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Vikaka vifupi vikinywa pombe vinawahi kulewa kwa sababu ubongo wao upo karibu na tumbo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 

hapa ndo utajua kuwa dunia duara
 
Reactions: bbf
*Kama Nyani na ngedere wangekuwa na pesa...*
*Trust me Kuna wanawake wangekuwa wanaishi misituni mda huu.....*
*Wanavyopenda hela* [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kudadadeki! Umeua!
 
kudadadeki Jana nimemfumania mke wangu akifanya mapenzi na jamaa Fulani baunsa hapa mtaani sebuleni kwenye kochi langu,nimekaa nimefikiria cha kufanya nikaamua Leo kuliuza kochi langu tuone sasa watafanyia wapi ujinga wao
sio kama nilimuogopa baunsa kumpiga ila tu bangi [emoji377] zimechangia Mimi kufanya maamuzi hayo
 
siku ya harusi ya ex wangu siwezi kuacha kuhudhuria aisee maana ntacheza hadi karibu ya keki yao ntaipiga teke makusudi halafu nawaambia bahati mbaya [emoji23][emoji23] sipendagi kusalitiwa mimi
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wapendwa nipo leba, kuna Maria kaletwa ngoja nikamzalishe[emoji3][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji23]
Maria wapo wengi sie huyo unaemfikiria[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Daaaa jamaa nimecheka kwa sautiii aiisee hadi watu wamenishangaa
 
Mmmm, sitaki kuwa shahidi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…