Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Umenichekesha sana!!!!!!!siku ya harusi ya ex wangu siwezi kuacha kuhudhuria aisee maana ntacheza hadi karibu ya keki yao ntaipiga teke makusudi halafu nawaambia bahati mbaya [emoji23][emoji23] sipendagi kusalitiwa mimi