Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3]
 
Leo nimepita kisimani nikamkuta mwanamke na kumuuliza VISA vya wanawake akanijibu weye kaka niache! nikakomaa kutaka kuvijua basi bila kuchelewa akaanza kupiga yowe la nguvu na mara wananzengo wakatokea alipo waona wakiwa na mapanga mundu shoka na mishale akajimwaia maji mwili mzima nikajua leo NAFWAA wakamuuliza imekuwaje? akajibu "nilitumbukia kisimani huyu kaka kaniopoa basi raia wale wakanipongeza na kuondoka basi yule dada akaniambia hivi ndio visa vya wanawake anaweza kukuua au kukulinda.
 
Aisee
Noma sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji119]
 
[emoji23] [emoji23]
 
, PALE NETWORK INAPOSUMBUA Alaf Dem Una Mpenda Kupita Maelez Anakwambia Ivi..
GIRL: do u love me
BOY: sana tu!(messege failed)
GIRL:sas c unijbu jaman
Boy:nakupendaa(messege failed)
GIRL:mbn kmya au kiburii
BOY:tatzo mtandao my ndo mana txt azifiki(messege failed)
GIRL:do you lov me ?????
BOY:khaaaa nimechoka mpumbavu wee(MESSEGE SENT)

Hapo nd utajua kwnn kiwanda cha mishumaa kinatumia umeme
[emoji3][emoji3]
 
...HII NISTOR YA KWELI *Mwanasheria mmoja alifanya mapenzi na mchepuko wake kwenye gari lake, basi yule msichana alifurahia sana lile tendo kiasi kwamba akasahau nguo yake ya ndani kwenye gari. Yule mwanasheria alipofika nyumban mke wake akampokea akaingia ndani, ile kipindi mwanamke anashusha mizigo kutoka kwenye gari, akaiona chupi ya mwanamke kwenye gari[emoji15], akaanza kupiga kelele kwa asira uku anaichana. Yule mwanasheria akatoka nje haraka haraka kuangalia kilicho tokea, akaanza kumfokea mke wake "We mwanamke umechana ushahidi wa kesi ya ubakaji na ni ya mamilioni*"... *Mwanamke hapo hapo akapiga magoti akaanza kuomba msamaha*[emoji38][emoji38][emoji38] *Mwanasheria akili yake anaijua mwenyewe*[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Leo kidogo nipigwe na MWANAMKE baada ya LIFTI kusimama...wakati tupo kwenye lift Nilikua nayaangalia MAZIWA yake akasema "Bonyeza Moja"[emoji196][emoji196] mi si nikalibonyeza?
Yaani had sasa
bado najiuliza nilipokosea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahahah..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…