Mr Sanguine
Member
- Dec 29, 2017
- 77
- 44
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3]UTAFITI
Kwa mujiub wa utatiif liuofanywa na Prfosa. wa chou kiuuk cha Dodoam, haukna haaj ya kuwa na mpaiinglo kweney heruif katiak maneon. Cha mhuimu ni kuaw na mpaiinglo kweney ehrufi za mwazno au miwsho tu, zinazobaik zinaweaz kuchagnanyaw tu na zkaieleweka bila taub. Hii ni kwa sabaub ubogno wa mwanadaum huaw hausoim kila heruif, bali husoam maneon kwa ujmlau wake. Si umeona umeweza kusoma na kuelewa vizuri utafiti wa chuo chetu! [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
jirani huachi jukwaa..
[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
[emoji3]Jiran ndo vizuri uzururaji
AiseeLeo nimepita kisimani nikamkuta mwanamke na kumuuliza VISA vya wanawake akanijibu weye kaka niache! nikakomaa kutaka kuvijua basi bila kuchelewa akaanza kupiga yowe la nguvu na mara wananzengo wakatokea alipo waona wakiwa na mapanga mundu shoka na mishale akajimwaia maji mwili mzima nikajua leo NAFWAA wakamuuliza imekuwaje? akajibu "nilitumbukia kisimani huyu kaka kaniopoa basi raia wale wakanipongeza na kuondoka basi yule dada akaniambia hivi ndio visa vya wanawake anaweza kukuua au kukulinda.
Hao viumbe sio wa mchezo hakuna vitimbi vikubwa kama vya wanawake.Aisee
Noma sana
[emoji23] [emoji23] [emoji119]Ilikuwa kuna mechi ya Azam na Simba, Muhindi na Mswahili maeneo ya kariakoo waliwekeana dau[emoji13] [emoji13]
Muhindi mshabiki wa Azam na mswahili mshabiki wa Simba
Muhindi: Veve swahili kama Simba iko shinda kundu kwa kundu
Mswahili: Poa na wewe kama Azam itashinda nakupa ***ndu[emoji38] [emoji38]
Sasa unaambiwa si Simba ikashinda[emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] unaambiwa kila muhindi akiambiwa toa kundu, anasema tuliwekeana kundu kwa kundu sio kundu kwa b0.o[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
[emoji23] [emoji23]Japan Airport wameweka kioo kubwa ukisimama mbele yake inataja jina lako na nchi unayo elekea.
Mpemba mmoja alisimama mbele ya kioo akaambiwa jina lake ni Awadhi Mkufu Mbaruku na ndege yake yaelekea Zanzibar.
Awadhi alishangaa na kioo na akataka kuhakikisha kuwa ni kweli. Akaenda kuvua koti akavaa kanzu, kofia na miwani. Akarudi tena mbele ya kioo na akaambiwa tena kuwa jina lake ni Awadhi Mkufu Mbaruku na ndege yake yaelekea Zanzibar.
Awadhi akaenda tena kuvua kanzu zawadi alizokuwa amemnunulia mkewe. Akavaa night dress, akatia rangi ya mdomo na akatafuna ubani na kulegeze mwili. Akarudi tena kwenye hicho kioo na akaambiwa
"Jina lako Awadhi Mkufu Mbaruku na ndege yako ishakuacha kwa ukhanithi wako!"
ukitaka kuuza bidhaa kama nguo..pafyum..sabuni.mchicha n.k kwa WANAUME WA DAR..WE WAAMBIE ZINAONGEZA NGUVU ZA KIUME..utauza adi ushangae
hahahah.., PALE NETWORK INAPOSUMBUA Alaf Dem Una Mpenda Kupita Maelez Anakwambia Ivi..
GIRL: do u love me
BOY: sana tu!(messege failed)
GIRL:sas c unijbu jaman
Boy:nakupendaa(messege failed)
GIRL:mbn kmya au kiburii
BOY:tatzo mtandao my ndo mana txt azifiki(messege failed)
GIRL:do you lov me ?????
BOY:khaaaa nimechoka mpumbavu wee(MESSEGE SENT)
Hapo nd utajua kwnn kiwanda cha mishumaa kinatumia umeme
[emoji3][emoji3]
Still tryna figure out how morata, Hazard and willian failed to score against man u's defenders which are small, young and blind
Ur Funny.. I like u!The silence of Chelsea and Arsenal fans on this Platform is proudly sponsored by Manchester United...