Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

UTAFITI
Kwa mujiub wa utatiif liuofanywa na Prfosa. wa chou kiuuk cha Dodoam, haukna haaj ya kuwa na mpaiinglo kweney heruif katiak maneon. Cha mhuimu ni kuaw na mpaiinglo kweney ehrufi za mwazno au miwsho tu, zinazobaik zinaweaz kuchagnanyaw tu na zkaieleweka bila taub. Hii ni kwa sabaub ubogno wa mwanadaum huaw hausoim kila heruif, bali husoam maneon kwa ujmlau wake. Si umeona umeweza kusoma na kuelewa vizuri utafiti wa chuo chetu! [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3]
 
Leo nimepita kisimani nikamkuta mwanamke na kumuuliza VISA vya wanawake akanijibu weye kaka niache! nikakomaa kutaka kuvijua basi bila kuchelewa akaanza kupiga yowe la nguvu na mara wananzengo wakatokea alipo waona wakiwa na mapanga mundu shoka na mishale akajimwaia maji mwili mzima nikajua leo NAFWAA wakamuuliza imekuwaje? akajibu "nilitumbukia kisimani huyu kaka kaniopoa basi raia wale wakanipongeza na kuondoka basi yule dada akaniambia hivi ndio visa vya wanawake anaweza kukuua au kukulinda.
 
Aisee
Noma sana
 
Ilikuwa kuna mechi ya Azam na Simba, Muhindi na Mswahili maeneo ya kariakoo waliwekeana dau[emoji13] [emoji13]
Muhindi mshabiki wa Azam na mswahili mshabiki wa Simba

Muhindi: Veve swahili kama Simba iko shinda kundu kwa kundu
Mswahili: Poa na wewe kama Azam itashinda nakupa ***ndu[emoji38] [emoji38]
Sasa unaambiwa si Simba ikashinda[emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] unaambiwa kila muhindi akiambiwa toa kundu, anasema tuliwekeana kundu kwa kundu sio kundu kwa b0.o[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
[emoji23] [emoji23] [emoji119]
 
Japan Airport wameweka kioo kubwa ukisimama mbele yake inataja jina lako na nchi unayo elekea.
Mpemba mmoja alisimama mbele ya kioo akaambiwa jina lake ni Awadhi Mkufu Mbaruku na ndege yake yaelekea Zanzibar.
Awadhi alishangaa na kioo na akataka kuhakikisha kuwa ni kweli. Akaenda kuvua koti akavaa kanzu, kofia na miwani. Akarudi tena mbele ya kioo na akaambiwa tena kuwa jina lake ni Awadhi Mkufu Mbaruku na ndege yake yaelekea Zanzibar.
Awadhi akaenda tena kuvua kanzu zawadi alizokuwa amemnunulia mkewe. Akavaa night dress, akatia rangi ya mdomo na akatafuna ubani na kulegeze mwili. Akarudi tena kwenye hicho kioo na akaambiwa
"Jina lako Awadhi Mkufu Mbaruku na ndege yako ishakuacha kwa ukhanithi wako!"
[emoji23] [emoji23]
 
, PALE NETWORK INAPOSUMBUA Alaf Dem Una Mpenda Kupita Maelez Anakwambia Ivi..
GIRL: do u love me
BOY: sana tu!(messege failed)
GIRL:sas c unijbu jaman
Boy:nakupendaa(messege failed)
GIRL:mbn kmya au kiburii
BOY:tatzo mtandao my ndo mana txt azifiki(messege failed)
GIRL:do you lov me ?????
BOY:khaaaa nimechoka mpumbavu wee(MESSEGE SENT)

Hapo nd utajua kwnn kiwanda cha mishumaa kinatumia umeme
[emoji3][emoji3]
 
...HII NISTOR YA KWELI *Mwanasheria mmoja alifanya mapenzi na mchepuko wake kwenye gari lake, basi yule msichana alifurahia sana lile tendo kiasi kwamba akasahau nguo yake ya ndani kwenye gari. Yule mwanasheria alipofika nyumban mke wake akampokea akaingia ndani, ile kipindi mwanamke anashusha mizigo kutoka kwenye gari, akaiona chupi ya mwanamke kwenye gari[emoji15], akaanza kupiga kelele kwa asira uku anaichana. Yule mwanasheria akatoka nje haraka haraka kuangalia kilicho tokea, akaanza kumfokea mke wake "We mwanamke umechana ushahidi wa kesi ya ubakaji na ni ya mamilioni*"... *Mwanamke hapo hapo akapiga magoti akaanza kuomba msamaha*[emoji38][emoji38][emoji38] *Mwanasheria akili yake anaijua mwenyewe*[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Leo kidogo nipigwe na MWANAMKE baada ya LIFTI kusimama...wakati tupo kwenye lift Nilikua nayaangalia MAZIWA yake akasema "Bonyeza Moja"[emoji196][emoji196] mi si nikalibonyeza?
Yaani had sasa
bado najiuliza nilipokosea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
, PALE NETWORK INAPOSUMBUA Alaf Dem Una Mpenda Kupita Maelez Anakwambia Ivi..
GIRL: do u love me
BOY: sana tu!(messege failed)
GIRL:sas c unijbu jaman
Boy:nakupendaa(messege failed)
GIRL:mbn kmya au kiburii
BOY:tatzo mtandao my ndo mana txt azifiki(messege failed)
GIRL:do you lov me ?????
BOY:khaaaa nimechoka mpumbavu wee(MESSEGE SENT)

Hapo nd utajua kwnn kiwanda cha mishumaa kinatumia umeme
[emoji3][emoji3]
hahahah..
 
Back
Top Bottom